azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ay – yule lyrics

Loading...

aaaaah
umeshasikia hii
kutoka kwa a.y
aaaaaaa
yuleeee
nampenda sana jinsi alivyo
yuleeee
nampenda sana jinsi alivyo single
yuleeee
nampenda sana jinsi alivyo
ntafanyaje patamapozi
nampenda sana jinsi alivyo
yuleeee
nampenda sana jinsi alivyo single
yuleeee
nampenda sana jinsi alivyo
ntafanyaje patamapozi
anapotabasamu ndo anaponipa ham
sura na umbo lake bhasi lanipa wazimu
nataka k-mfuata nahisi atakataa
naogopa akinimwaga story zitazagaa
napenda miondoko yake tabia yake
umasikini w-ngu utanifanya nisimfuate
yule anayesumbua akili yangu
yule anayeumiza moyo w-ngu
najua kwao najua kwao
mwenzenu me ntakufa na mawazo
lakini k-mwambia ndo siwezi

yuleeee
nampenda sana jinsi alivyo
yuleeee
nampenda sana jinsi alivyo single
yuleeee
nampenda sana jinsi alivyo
ntafanyaje patamapozi
nampenda sana jinsi alivyo
yuleeee
nampenda sana jinsi alivyo single
yuleeee
nampenda sana jinsi alivyo
ntafanyaje pata mapozi
tatizo hajui bila penzi lake manzee sijitambui
me ntafanyaje hata nikimuona mdogo unajaa mate
no no no no
napomuona pindi tukikutana
iwe club kapozi na rafiki zake
ila tabu nafikiria vipi nimpate
muda utafika na hapo ukweli ntamueleza
nakosa raha pale washikaji wakinibeza

sijitambui naye hajui kama kwake nimefika

nampenda sana jinsi alivyo
yuleeee
nampenda sana jinsi alivyo single
yuleeee
nampenda sana jinsi alivyo
ntafanyaje pata mapozi
nampenda sana jinsi alivyo
yuleeee
nampenda sana jinsi alivyo single
yuleeee
nampenda sana jinsi alivyo
ntafanyaje pata mapozi
anavutia vutiaa
cha ajabu ajidai
nataka awe w-ngu tuu
lakini k-mwambia ndo siwezi
nampenda sana jinsi alivyo
yuleeee
nampenda sana jinsi alivyo single
yuleeee
nampenda sana jinsi alivyo
ntafanyaje pata mapozi
nampenda sana jinsi alivyo
yuleeee
nampenda sana jinsi alivyo single
yuleeee
nampenda sana jinsi alivyo
ntafanyaje pata mapozi
end



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...