azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

oliva wema – bwana ni mchungaji wangu lyrics

Loading...

bwana ni mchungaji w-ngu
sitapungikiwa kitu
hunlaza penye majani mabichi

huniongoza kwa maji matulivu

hunihuisha nafsi yangu
huniongoza kwa njia za haki
nipitapo bondeni mwa mauti
sitaogopa wewe unami

hakika wema nazo fadhili
zitanifuata mimi
nitakaa nyumbani mwa bwana
siku zote za maisha yangu.
hakika wema nazo fadhili
zitanifuata mimi
nitakaa nyumbani mwa bwana
siku zote za maisha yangu

gongo lako na fimbo yako
vinanifariji mimi
waandaa meza mbele yangu
machoni pa watesi w-ngu

hakika wema nazo fadhili
zitanifuata mimi
nitakaa nyumbani mwa bwana
siku zote za maisha yangu

hakika wema nazo fadhili
zitanifuata mimi
nitakaa nyumbani mwa bwana
siku zote za maisha yangu

hakika wema nazo fadhili
zitanifuata mimi
nitakaa nyumbani mwa bwana
siku zote za maisha yangu

nitakaa nyumbani mwa bwana
siku zote za maisha yangu



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...