azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

4mr frank white - rusha lyrics

Loading...

[verse 1]
chunga sana apa unaeza ganda
steam zinarushwa ata kaa
zimepanda
black and white tunamove
kama panda
watch your mouth
bro apa unaeza blanda

[hook]
rusha ka unaeza rusha
na kama uezi rusha
apa unaeza rushwa
apa unaeza rushwa

[verse 2]
ka ni flow me na switch
one hunna
one of one tushazoza sana

on the low tunakeep undercover
nlikua nmeficha
but nablow iyo cover

flow ni ya breeder na
naosha hawa banii
jokes on them
wahamishwe uko cani
[verse 3]
wana beef na who?
beef na nani?
beef na you
na najua auna habarii

[hook]
na si warusheee
ka wanaeza rushaaa
nakama hawawezi apa wanaeza rushwa
nakama hawawezi apa wanaeza rushwa

[verse 4]
nimecarry ma bars ka dt dobie
super fly naeza throw kaa kobe
hawana cooopy
block natoka ntaawachia iyo notice
washanitea ka jaba na koffee
raise a toast na mpige makofi



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...