4t dayz, abra kadabra, disciple, boy navis - barua lyrics
[intro] 4t
kwa ii barua me ndo letter head
struggle kwa street, imeni harden nmekua warhead
[verse 1]4t dayz
street wise am full of wreck never reckless
cheza na me ndo shayne, kwa ward nkuache ukiwa breathless
wana 2 treat like dogs, ghetto yout okotwa kwa street ukiwa lifeless
how could you be so heartless
mob injustice, extra judicial killings
kayole 1960 ni crucial livings
thug-gin, robbery na drug dealings
police brutality, ma cops bila feelings
2na explode wame 2 fikisha kwa ceiling
haki iwe ngao na mlinzi
bila haki mlinzi amegeuka mwizi
ghetto yout 2na suffer kwa street ao ma gangstars kwa ofisi
k divert resources m-pigs team mafisi
breaking into my house bila warrant mr polisi
cjui ndo nidishi itabidi mazishi
representatives wa2wakilishi
liwe liwalo lazima 2ishi
yo
4t
[chorus]-4
barua ,barua me nakupa barua
naomba ufikishe…
[verse 2] abra kadabra
kenya yetu akuna majanta
kenya yetu akuna matata
kenya yetu imejaa mangata
nyi ni mapunda, mateke asanta
alafu ni kama awataki nikae radar
wa i legalize 2 seti io shada
a2taki vitu za msaada
kwendeni uko, ni kama 2tawa murder
wana 2pata base, wanasema ua hawa
nyi ni nani, na kua watu flani
ni kama ni mazishi wamekuja na tu maua
abra kadabra 2mekuja 2 kuua
ni nani mtu flani amekunja pia sura
abra kadabra, bender-son wagura
ao wasee si wanaiba kura
aa, wameiba kura
[chorus]-4
barua ,barua me nakupa barua
naomba ufikishe…
[verse 3] disciple & boy navis
mwana siasa nmekutafuta
na thank god, mwishowe nmekukuta
shika barua hope utafikisha, kama ao wengine autalalisha
uku kwetu k-mejaa mashida
uku kwetu ata tujalindwa
madem wadogo nikupigwa dimba
maboy, kila siku nikuzimwa…..[
{navis……}
uuwi, uuwi, manduru nje ya dirisha
ndio utukaribisha usiku far east kunatisha
itabidi mbleina wame wacha kulalisha
nyumba k-mi kutu hamasisha
me nuh laugh bwoy, me nuh joke bwoy
police ah shoot bwoy
me want a brighter day
too much rough up pon di street
violence on a ensuite
musically strong, me ah stand pon me feet
[outro] abra kadabra
oya oya, mr representative
atutaki car wash, unajua
tu upgradie hall yetu ikue ya wasanii
watoto, what is the future jamii
1960, kayole m-ssive
tingisha kichwa..
{fading,,,}
barua barua, m nakupa baruaaaaa
Random Lyrics
- そらる - テレキャシスター lyrics
- james horner - you don't have to be alone (on christmas) lyrics
- studio artist - we three kings lyrics
- anthony russo - caught up lyrics
- seraphim - hallelujah lyrics
- the skarnivals - alther christus lyrics
- forgetting the memories - phantasma lyrics
- genetikk - zombies lyrics
- ivri lider & ofer meiri - בעיר הזאת lyrics
- solarstation - desert lyrics