azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

4t dayz - mtaa ya mine lyrics

Loading...

sijakataa nlizaliwa mathare
lakini kayole ndo imeni jenga..
4t

(verse 1)

far east opposite ya the land of milk and asali
akili tushatumia yote kenye imebaki ni kuget mali
hustle daily but kuget pay ajali
uspokaa radar uku unapoteza njumu, pori plus na suruali
ma vijana wamevunja wamepigwa na solar kali
big up nyando, soweto, corner, saba saba, masimba
4t nmekam kurap, cjakuja kuimba
about my city my town 1960 kwa ma grimber
zone mayout wanadeady wakitafta dough za ku buy timber
ma sanse ni wakali design ya simba
kkula nyama imewafurisha tumbo kaa mimba
ma gyal dem wana drop out of school due to early dimba
cheki, uku wasee talented waliacha soccer sku izi wanaingia mboka
mtaa madingo wameokoka
sewage zimetoboka
wasee awastagi ata after kunywa mzinga sita za johny walker
jicho nyanya everyday ndo mtaa mi natoka…….

( chorus)
hii ndo hood ya mine
hii ndo mtaa ya mine
hii ndo mtaa ya mine
hii ndo mtaa ucmind
hii ndo mtaa ya mine
hii ndo mtaa ucmind
karibu 1960
###2

( verse 2)

am still on my marks cjaget ready but nko idhaa ya kugo
1960 mayout umek money from robbery design ya kuwakaba koo
shoot to k!ll ndo slogan operation ni door to door
police & badman in a shoot out
zao ni mata taa
economy ni 24hrs city lights kwa baro usiku ni ma taa, taa
foundation imeekwa na mayout wako devoted akuna mataa ta..
ma oddy wako marked for death
na bdo wanachafua, smokin’ till they lose their breath
hood ina stand out kaa albino kwa crowd
i love you oyole of you am so proud
niko into you kaa roots kwa ground…
17a, 18c, 1960 ndio code number
uspokaa radar unaeza uma pamba
livity nkaa swara kuishi river moja na mamba
mtaa ni cosmopolitan
mix ya waluhya, wajaka plus na wakamba
1960 vijana ndo wahenga
informer stay far tunakulenga

( chorus)
hii ndo hood ya mine
hii ndo mtaa ya mine
hii ndo mtaa ya mine
hii ndo mtaa ucmind
hii ndo mtaa ya mine
hii ndo mtaa ucmind
karibu 1960
###2



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...