8th street gang - unataka nini lyrics
[intro: mundi]
yea
[chorus: mundi]
unataka nini?
mbona unaguza ukirudisha, unataka nini?
na unapayuka, unataka nini?
unanithreat unaniboo, hudai tulinki
na ni wa ngong ah! anataka nini? (unataka nini)
mbona unafinya ukirudisha, unataka nini? (unataka nini)
na unapayuka, unataka nini? (unataka nini)
unanithreat unaniboo, hudai tulinki (yea, yea)
na ni wa ngong ah! anataka nini?
[verse 1: breezy]
nikona peng hadai dress, anataka mini (na)
akona mash ye hucheza rough juu ya mashilingi (yea)
ka ni gang keep it small hatudai afillis (no)
ngori ka ni ya mbogi jua tunakam wawili (juu)
ka ni vio miaka mbao me sihitaji cv (na)
na usitake zogo ka unajua utacatch mafeelings (who)
naskia mnabanja but kuslide ilishinda pikins (me)
niko very choosy close hio blinder, wanataka peaky (na)
na ka ni damage aim kwa mdie, ndio wapake deep heat (na)
na ka nikuround tuna flip hio coin, hatuchezi simbi (bro)
hii si poker choose your card, tunakuset kasingi (glee)
me si broker two four seven nasmoke ma pimbi (pimbi)
uko sure utamake it gulag?
nikona fiends wanataka too much
ka si blade natembea na chuma
kwa block tuna stick ka funza
f+ck twelve walituhanda kigunga
big fish usimess na tuna
eveready me ndio puma
bro unataka nini? (yea, yea)
[chorus: mundi]
mbona unaguza ukirudisha, unataka nini? (unataka nini)
na unapayuka, unataka nini? (unataka nini)
unanithreat unaniboo, hudai tulinki (yea, yea)
na ni wa ngong ah! anataka nini? (anataka nini)
mbona unafinya ukirudisha, unataka nini? (unataka nini)
na unapayuka, unataka nini? (unataka nini)
unanithreat unaniboo, hudai tulinki (yea, yea)
na ni wa ngong ah! anataka nini?
[verse 2: mundi]
difference ya pork na beef
hu msela haradi kwa pilau anachop hio kitu (huh)
si mungiki ako pop huyo jitu, size haimati ka huamini tulimshank (huh)
tuko macodeine (woah)
nyi mko ma cocaine
na tukona molly
na ako mamolly (ei ei)
hataki chaser dem ni zombie anapiga dry gin
me sitaki panga jako bigi imebeba shaolin
keg ketepa an+z+mix na hunter na si biden
anataka mash hadai nicum na still anataka quickie
niko mandom (woah)
na dem wa ngong (woah)
anataka form, nampiga form ya h2o
[chorus: mundi]
unataka nini? (yea, yea)
mbona unaguza ukirudisha, unataka nini? (unataka nini)
na unapayuka, unataka nini? (unataka nini)
unanithreat unaniboo, hudai tulinki (yea, yea)
na ni wa ngong ah! anataka nini? (anataka nini)
mbona unafinya ukirudisha, unataka nini? (unataka nini)
na unapayuka, unataka nini? (unataka nini)
unanithreat unaniboo, hudai tulinki (yea, yea)
na ni wa ngong ah! anataka nini?
Random Lyrics
- mensen blaffen - la griffe lyrics
- kaj - the bachelors of the sea lyrics
- tammy campbell brooks - i am legendary lyrics
- down to the wire - vegas lyrics
- a.r tokin - behind the fog lyrics
- vt - fourgon cellulaire (hanté) lyrics
- svdden death - maze of punishment (aweminus remix) lyrics
- gothkid - fuel lyrics
- whyspurky - королева селфхарма (queen of self-harm) lyrics
- númenor - nùmenor lyrics