a-1 rokker - kasi ya basi lyrics
(hook)
usinilaumu
ni kasi ya basi
usinilaumu
ni kasi ya basi, mama
ningekuoa
(verse 1)
lainisha, joto la pasi
una ilani ila, naloa maji
kaa la moto, dada, huna wakati
wanihitaji. nakutamani
na najua, dada, yako thamani
toka zamani, na si utani
kwa mbuga lako, hutaki mtalii
niko kwa nchi inayo niibia sahihi
chetu, chao, chawa, humu mna dhiki
hali si hali, natoka saa hizi
(hook)
(verse 2)
lonely kitandani, player mtaani
kuna wasupa wanadai kuretire jersey
nahama ligi chobo sipigwi hadharani
unadai vows na kuwow mashinani
lakini dishi hatuitishi kwa majirani
ni mechi natamani sio ligi, hatuelewani
noma ni, uko coo coo coo, ka elani
n+z+flash ka poo poo poo msalani
nkistress, design unahitaji nicome thru
ukishika ball na hii ushuru ni kunidhurumu
na sidai kuendea diapers, nipate uhuru
hatuwezi kuwa madead beats, mi na mandugu
stole your heart, nkagonga dead end nkihepa
in the event nakutenda, si eti sikukupenda
ni better, kukupeleka na agenda
badala ya mauongo za kutenga na hakuna sh+t tunajenga
(hook)
Random Lyrics
- lake malice - nobody wants to be you lyrics
- saccades - distant sea lyrics
- redound - от ляво на трона (ot lyavo na trona) lyrics
- ann magnuson - i'maman lyrics
- oricalco - trance lyrics
- onepath (usa) - teach finnese lyrics
- whoisolivr - don't leave me astray lyrics
- arty & rhodes - never be the same lyrics
- asteria (band) - candles lyrics
- steve lawrence - golden rainbow lyrics