a.t.m jeff - chekelea lyrics
a.t.m jeff
every time i think of you my lover
aahhhhh i swear i’ll love you forever aahhhh
mi ni picha ya raisi, (ya raisi) waga siwekwagi bodyguid aahh
itanikera sana nitaposkia unatoka inje ya ndoa baby usisumbuke kuroga eeh
manatayari ushanoga ndani ya moyo oh baby oohhhhhh tell me what you need
niambie unachotaka nitakupa oohhhhh nakupenda sana i think that you know
baby oohh
pre chorus
nimeshadata mimi kwako nimeshadata oohhh my baby nimeshadata nimeshadata
niamini nimeshadata mimi kwako nishadata nishadata baby niamini baby iiiih oohhhh dah
verse
mwenda kwao haogopi giza wahenga walisema aahhhhh aah
ndomaana kujakwako baby sikuulizaga aahhhhh aah
tena usijezani naigiza ikajafika ukaniumiza my baby
ehh najihisi raha oh baby ehh nikiwa na enjoye nawe some how mama ehh
kwenye shida na raha baby ehh ning’ang’anie mama nik#mbatie sana oohhh
tell me what you need niambie unachotaka nitakupa oh baby oohhh
nakupenda sana i think that you know baby ohhhh
pre chorus
nimeshadata mimi kwako nimeshadata oohhh my baby nimeshadata nimeshadata
niamini nimeshadata mimi kwako nishadata nishadata baby niamini baby oohhhh dah
chorus
chekelea 3x
chekelea baby heyyyyy wendo w#ngu mama
nakupenda sana dubidubirudo eiyeiiiiih!
Random Lyrics
- black angel - she lyrics
- dersak - blessed lyrics
- fight the fight - triggerfinger lyrics
- cojack - strobe lights lyrics
- ali hugo - marching saints lyrics
- zaïko langa langa - mukaji lyrics
- popey - gta #18 lyrics
- steven gilbert - getting to know myself again (acoustic) lyrics
- paul anka - silhouettes lyrics
- side montero - seven straight lyrics