a.t. zanzibari - kazi yao lyrics
(instrumentals)
[verse 1]
nawasonya kwa hasira wenye akili sifuri
wamepoteza taswira, upeo umebaki kivuli
w+n+lala na dada zao
wapeni na pole yao
woah
muulize mwenza wao
aliye pigwa mabao
[pre+chorus]
mi naona mnajiumbua, hamna jipya
hizo ni laana tu
mi naona mnajisumbua, haina tija
labda umaarufu
[chorus]
kazi yao
wakitema [?] kwa watoto
lengo lao
hatujui labda wanausambaza moto
kazi yao
wakitema [?] kwa watoto
lengo lao
hatujui labda wanausambaza moto
[bridge]
na+na, nai+nai+na
(na+na, nai+nai+na)
la+la, lai+lai+la
(la+la, lai+lai+la)
na+na, nai+nai+na
(na+na, nai+nai+na)
la+la, lai+lai+la
(la+la, lai+lai+la)
[verse 2]
ni malaghai, matapeli
ndugu zangu nawaambia
wana rai kweli kweli
si kama wanatamania
hii ni suna au sanaa ya mwendokasi wa zinaa
ukahaba umewajaa
hawana kapu la kinyaa
nyie manguli, makatili, mafedhuli
hamnitishi
[pre+chorus]
mi naona mnajiumbua, hamna jipya
hizo ni laana tu
mi naona mnajisumbua, haina tija
labda umaarufu
[chorus]
kazi yao
wakitema [?] kwa watoto
lengo lao
hatujui labda wanausambaza moto
kazi yao
wakitema [?] kwa watoto
lengo lao
hatujui labda wanausambaza moto
[bridge]
na+na, nai+nai+na
(na+na, nai+nai+na)
la+la, lai+lai+la
(la+la, lai+lai+la)
na+na, nai+nai+na
(na+na, nai+nai+na)
la+la, lai+lai+la
(la+la, lai+lai+la)
[outro]
wamecheza gemu nyingi
kushinda pele
umaarufu na shilingi
wameweka mbele
wamecheza gemu nyingi
kushinda pele
umaarufu na shilingi
wamewеka mbele
Random Lyrics
- voyou - les tétons lyrics
- liisi koikson - muulil lyrics
- victoria victoria - perfectionism lyrics
- toz - nu shoes (sped up) lyrics
- joão gui - nocaute lyrics
- iris - alakart lyrics
- carla dona - paris-antibes lyrics
- horus (fra) - chaman lyrics
- yes the raven - bells lyrics
- the holy modal rounders - bound to lose lyrics