azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

a.t. zanzibari - vifuu tundu lyrics

Loading...

wao, wao, wao, wao
wajua, jua kusema
(vifuu tundu)
wao, wao, wao, wao
wanasema yasio maana
(vijitu)
ndio maana hawapokei
(hey!)
kwa sababu wana laana

hapo sae [?] ukucha
hapo sae [?] ukucha
hapo sae [?] ukucha
na hapo sae [?] ukucha

hodi, hodi, ‘naingia, na zirejesha salamu
mlango walopitia, kupita mimi haramu
(hah)
najua mna hamu
(aga, aga)
ugomvi kwenu tunu
mwenye akili timamu, ‘kugombana kwake sumu

maneno yenu wala hayamfanyi mtu kuwa mwembamba, eh
ndio kwanza ‘n+z+di kunawiri kama shina la mgomba
mnapita, pita, pita ‘kusema wasoyajua
mnazua, zua, zua ‘mwishoni mtazomewa
mnapita, pita, pita ‘kusema wasoyajua
mnazua, zua, zua ‘mwishoni mtazomewa

wao, wao, wao, wao
wajua, jua kusema
(vifuu tundu)
wao, wao, wao, wao
wanasema yasio maana
(vijitu)
ndio maana hawapokei
(hey!)
kwa sababu wana laana

hapo sae [?] ukucha
hapo sae [?] ukucha
hapo sae [?] ukucha
na hapo sae [?] ukucha

mjumbe ulinambia, ni kabisha katukatu
katika hii dunia, wengine majini watu
mjumbe ulinambia, ni kabisha katukatu
katika hii dunia, wengine majini watu

mwanamke mmbea utamjua tu mdomo wake, mweusi…,kama wa kunguru
mi naona bora mfanye yanowahusu
huo umbea wenu ‘msiopitwa kama kasuku
mi naona bora mfanye yanowahusu
huo umbea wenu ‘msiopitwa kama kasuku
(ndio)
nyinyi kama kasuku, mnanifata huku

wao, wao, wao, wao
wajua, jua kusema
(vifuu tundu)
wao, wao, wao, wao
wanasema yasio maana
(vijitu)
ndio maana hawapokei
(hey!)
kwa sababu wana laana

hapo sae [?] ukucha
hapo sae [?] ukucha
hapo sae [?] ukucha
na hapo sae [?] ukucha

wori, weeh!
hah!
uliona wapi nyumba ya udongo ikapigwa deki?
inahu+
we ndala tu, thamani yako chooni chumbani unaishia mlangoni
[wambio]
kila mwenye chuki na mie
ujumbe huu umfikie
kila mwenye chuki na mie
ujumbe huu umfikie

mtazidi kunichukua na dunia mtaiona moto
kindumbwe, ndumbwe
kindumbwe, ndumbwe
kindumbwe, ndumbwe
kindumbwe, ndumbwe
w+n+lia
w+n+lia
w+n+lia
(hao!)
k+mbe ni choyo
k+mbe ni choyo
k+mbe ni choyo
(wao!)

[interlude]
eh, unashangaa mi kula kwa mama ntilie eh?
watu tumeshakula ma+hollywood
sasa wewe ushamba wako, ha+ha
unataka nile kwa bi. mkubwa wako?
lakini hajui kupika, tena pole

mashetani yamepanda
(tawire, tawire, tawire, tawire)
yamekuja na mapanga
(tawire, tawire, tawire, tawire)
mashetani yamepanda
(tawire, tawire, tawire, tawire)
yamekuja na mapanga
(tawire, tawire, tawire, tawire)
hata’ ukienda kwa mganga na mizimu, itaganda
(tawire, tawire, tawire, tawire)
hata’ ukienda kwa mganga na mizimu, itaganda
(tawire, tawire, tawire, tawire)
ukijipendekeza, nakufyeka, ooh+ooh
ukijipendekeza, nakukata, aah
nakukata
ukijipendekeza, nakufyeka, ‘nakufyeka
ukijipendekeza, nakukata, aah
nakukata

mashetani yamepanda
(tawire, tawire, tawire, tawire)
mashetani yamepanda
(tawire, tawire, tawire, tawire)

[interlude]
eh, mwalimu hafeli mtihani eh
kwa sababu ye ndio anao uandika
“wakali wa hizi kazi”
wakali wa hizi kazi, wakali wa mashuzi?
aah, poleni, tena poleni sana
eh, msitie huruma, eh
mara mmenuna nyie
weeh!
…eh, shauri zao
eh, unaonja moto kwa ulimi eh?
acha ukuunguze sasa

[conversation]
habari yako, bwana al hodari?
ah, salama tu
swalama?
eh, swalama
ah, nilikuwa nataka nikuulize kidogo
eh+eh, uliza
eh, hivi…’wale marafiki zako mashoga?
eh, wale mashoga mbona, kitambo…
eh, ushawajua lakini nani na nani?
eh, si aunt mu na da chichi?
haswa…
wale mashoga eti
ala!
eh, zamani
k+mbe
eh+eh
ah+ha, haya basi waambie cheichei

[outro]
mkinijibu tu, bwana wenu
na mkinyamaza, mnaniogopa
mjibune basi bwana wenu, au ndio mnamuogopa?
he+he+he+hee
mnajua kuchumu lakini mnanuka midomo



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...