a town boys - a town boys-kitunda lyrics
a town boys-kitunda (lyrics)
intro
eeeh aaariff
a town girl wooote, wanajua si ni romantick
kitundaaaa,kituraaaa,maparachichi, matikitiki majii
aaariff”””si tunakulagaa….hatutaki bagaa
chorus
unapotaka panda meli na ferrar hizo mambo (sinaaaax2)
unapotaka kula hotel ya kifahari hizo hela (sinaaaax2)
unapotaka panda meli na ferrar hizo mambo (sinaaaax2)
a town girl na vitunda wanajua vile si tuko (romantickx2)
verse(1)-ricks fitty
bint kitunda unapo ride hua na sleep with no lequer
and am say this so u know a fill you with no lager
they can say,let them say stil we keep rapin necked
we want shake from the pain and i save the strength
we have the streat and they can’t messen they can’t messen
you ain’t shine and the more you can’t cry
leady’s down,leave the pain,let its go and a…. ama romantic
unapokaa nasikia raha hips with tha boot band
and am the sharp’s bang i say what i fell girl ca ca ca come close
listen to wa a wa a wanna tell u girl
u can’t let me down things won’t come arround
coz the cheque is ain’t what i pay for!
check unavyo shine lips with that boot bang
and am say this so you know i feel you girl…
r.i.c.k. the man that u love more
nikupe nini hizi kiki ama snare girl
shika chuga a town boy is what you having more
i want you to know girl ama romantic……
chorus
unapotaka panda meli na ferrar hizo mambo (sinaaaax2)
unapotaka kula hotel ya kifahari hizo hela (sinaaaax2)
unapotaka panda meli na ferrar hizo mambo (sinaaaax2)
a town girl na vitunda wanajua vile si tuko (romantickx2)
verse(2)-sande pande the mcee
nikibum naona sura nzuri kwenye anga inapita
kwa skul nilipenda binti mmoja sinyorita
waziri wa mambo ya ndani chumbani nikaribishe
achana na mababogum karibu mangararum mapishi nikuonyeshe
unapotaka kitu cha nitanyonga ukiwashe
ukinibambaa, nikikubamba inakuaga ni kash-sh-
nakuweka kwenye nyumba nikichoka uniogeshe
matikiti maji mapera na maparachichi kama vile siagi
ndo vitu mimi nakulaga na kubeba kwenye begi
nikinunua viatu nanunua pea mbili
nikinunua culture nakuletea bangili
matango unakulaga najua vile uko romantic
nakulamba kwa shingo nashuka mpaka kweny mat-titi
nikipata mabingo mambo yetu ni bombastiki
weka mw-nga afifu nifungue vifungo vya mashati
vaa kanga nyepesi kwa ndani nione kichupi
nimeshapata kijiti njoo nikupe kipipi…..
chorus
unapotaka panda meli na ferrar hizo mambo (sinaaaax2)
unapotaka kula hotel ya kifahari hizo hela (sinaaaax2)
unapotaka panda meli na ferrar hizo mambo (sinaaaax2)
a town girl na vitunda wanajua vile si tuko (romantickx2)
verse(3)-diggo boy
umenipa nafasi lem explain jinsi unavyo nihasi
am fell good baby unaniahasa niache nyasi
alright kitunda w-ngu acha nikupe verse
pozi lako chanya me na like jinsi unavyo dress
yes,sita guess you gat a lots never the less
nimetia nanga kama meli kamwe sitotoka
nilikupata siyo kwa zali vocal ndo nilishuka
hata waki hate mi sijali kwani kwako nimeshafika
acha nizame deep kabisa we in angel wa africa
h-llow sinyorita ume ni fit ile ki super dupper
nipe ile kitu changu mwili unahepahepa
sitosepa niko hapa kesho wapi tule bata
whatsuppp,naanzisha njoo kwa huyu gangstar rapper
ma a town girl show me show me whatchu gat
nachosema kikowazi watambue wanao hate
kwamba kitunda uko bright zawadi yako ni matikitiki…maji…
nipe kwenye gl-ss chalii wako am tired
uzuri wako wa asili hautumii vipodozi
wewe ndito ume nik!ll,haki ya mungu nime freezy
hizo pesa wala sina unapotaka panda meli…aaaaaaahaaa…
chorus
unapotaka panda meli na ferrar hizo mambo (sinaaaax2)
unapotaka kula hotel ya kifahari hizo hela (sinaaaax2)
unapotaka panda meli na ferrar hizo mambo (sinaaaax2)
a town girl na vitunda wanajua vile si tuko (romantickx2)
Random Lyrics
- rob dorsey - at the end of the world lyrics
- jimi goodwin - lonely at the drop lyrics
- yo la tengo - don't have to be so sad lyrics
- els catarres - tintin lyrics
- spzzy - ttu (too turnt up) lyrics
- kult - modlitwa moja lyrics
- rodimis - going once lyrics
- sam hill - super baked lyrics
- animus - junge mit carazza lyrics
- geestuh - this is how we do lyrics