abbas doobeez - bamba lyrics
(man speaking) i just don’t understand what this bl–dy hip hop is all about
(woman speaking) ooh stop it dear, you’ll get the hang of it
(1)
hip hop!!
hii ni hip hop, phenomena
si ni kanyeria na muchanja man
tunachafua basi wapi hio duster pan
oya mif-ko zimejaa ka rasta man
itisha kinywaji faster man
kang kang hapa niko na tusker can
weka kwa bills si nitalipa na master card
wata kuwa juu ya maji kama zanzibar
basi mustang nitaiwacha kwa parking lot
saa ya kwenda home si nitapigia taxi cab
nina msupa amevalia cardigan
ukicheki chest si utapata heart attack
what’s on, what’s off??
nikitoast up chupa ya jameson
ongeza ice iwe kama ya eskimo
chapa shots bottoms up here we go!
(hook)
leo leo mziki tunayo
cheki vile k-mebamba bamba
leo leo kinywaji tunazo
cheki vile k-mebamba bamba
(2)
k-mebamba mikono na super gum
kwenye mic nimeshika na super glue
naichana naitema ka bubble gum
niko waks ka misumaa, candle stand
mi nabang ka ladesh, pakistan
u.k. nawapound, yes sir yah
me ni king kwenye palace buckingham
piga matot na wasupa wa tottenham
mara kwa train inapita amsterdam
rotterdam niliwapa kakaang kakaang
sudan watagwaan?? dadaab
istanbul na maturkey za baskin??
italy niko rome, vatican
hamburg nikicruise kwa??
piga detour ndio nisign ma autograph
nikapiga sign scratches abbas kubaff
(hook)
(3)
ongeza volume??
uiweke kwenye bill ya just a band
na akiblink umwambie i’m just a fan
si ni kubaff yule yule abbas kaboom
na raundi hii nimerudi na master plan
ya kuchafua party na after bash
na kurarua masanduku za speaker box
ni kwa sababu za leo zimeshika jo!
(hook)
Random Lyrics
- marchan noelle - the coffee shoppe around the corner lyrics
- skevt - tjenare mannen! lyrics
- ad - juice lyrics
- jiving juniors - valerie lyrics
- bracket feat. tekno - panya lyrics
- psy - dance jockey lyrics
- l'arc〜en〜ciel - wings flap lyrics
- mobivstrip - whisper lyrics
- k-cee, harrysong & skiibii - ebaeno lyrics
- litany - slopes lyrics