abdallaza - amani lyrics
tunachotaka amani
(tw+taka amani)
tuwe na moyo wa imani
(moyo wa imani)
tushukane mikono pamoja sote tusonge mbele
tunachotaka ni amani
(tw+taka amani)
tuwe na moyo wa imani
(moyo wa imani)
tushukane mikono pamoja sote tusonge mbele (heey)
brother mbona umeshika panga
natumekua wote kwa nyumba ya kupanga
toka wachanga hadi chuo tumemada
eti kisa ukabila leo wataka nimada
siasa chafu zisitugonganishe
ukaufanya undugu baina yetu ukwishe
sindotufae neza na amani tudumishe
vijijini mjini sokoni na mitaani
wakenya amani iiiiiiih
tupendane sote eeeeeeh eh he
tuwe kitu moja aaaah ah ah
tudumishe amani
amani
amani
amani
amani iiiih
tunachotaka amani
(tw+taka amani)
tuwe na moyo wa imani
(moyo wa imani)
tushukane mikono pamoja sote tusonge mbele
tunachotaka amani
(tw+taka amani)
tuwe na moyo wa imani
(moyo wa imani)
tushukane mikono pamoja sote tusonge mbele (heey)
yeah
audhubillahi minasheitwani
tunamlani sheitwani
tukitanga amani
mskitini kanisani
hadi maskani
mpaka majumbani
wakenya kwa wote amani iwe na sisi
tushikane kwa mikono
tuachane na ukabila
taifa la kesho lisije kukosa ajira
tumchague kiongozi bora asochagua kabika
mbara mpwani sote wa moja
tunaharibu tulivyo lijenga aaah
inachukua muda (kujenga upya)
tuilinde hi inchi yetu ya kenya
tuwachague viongozi wanao stahili
peace is not archived by controlling our nation
but mastering our thoughts
peace is not the absences of war
but presence of justice
justice will always bring peace
so our son′s and daughters please sees cycle of violence
and let’s have a peaceful nation
is producer baindo
the bigfoot production
eneza amani popote ulipo
peace
one love
let us have a peaceful nation
let us stop violence
let us vote wisely
for a better nation
one love
uhhhh uh
yeah ooh yeaaah
whyne we need peace yeah
we need peace
oh yeah we need peace
Random Lyrics
- yates xv - graveyard lyrics
- every time i die - people verses lyrics
- ravenous (socal) - down the gnarled path lyrics
- nicolina - see me again lyrics
- trent stark & jordi north - dream dream lyrics
- spose - here we go again lyrics
- psichiatri.ts - new york lyrics
- dreamweaver9 - altered reality lyrics
- jay laroy - not having it lyrics
- hannah telle - into the blue lyrics