abdallaza - next level lyrics
abdallaza
intro
chyzen unbwogable
rickfrank records…..big yourself rickie
its time i be me
get it ryt this how i popp it baibe
niko full yoh….
am gonna++++
chyzen dee
verse 1
this is for ma n+gga rick who made write this track
this is all across the world n+gga shout 2pac
chyzen dee right on the mic n+gga watchu want
this is for me you and ma n+gga who died
najiita chyzen d double e lebo usongo
hii ni level zaidi ya juu pokea chakula cha ubongo
mistari ndani ya veins hater utasoma kisogo
sina bado ata mjukuu na tayari washaniita kigogo
this is for me you me you and ma n+gga who died
looking at the past so far i see some light
future is bright everybody shout this back
hope you gat its rickfrank i in the mic
this is more than the level u knw
i need a briefcase coz mistari imeziba ubongo
toka zama me ndo king j+po walinziba wanoko
hii track imevuka local,mahasidi wekeni usongo
me ni direct vip siitaji kutoa ata hongo
hook
(niko full full zaidi ya vile mnadhani nafanya nnavyoweza me issue zangu mistari
chyzen dee daily mitaani msiniulize maswali
nawapoteza kimentally hiki kipaji ndio zali) +2
verse 2
nimejihami full nakupa rhymes mchezo nliufunga zamani
walk over nlipewa live hawakufika ata uwanjani
wanakoma na hizi lines fake nshawapoteza imani
sioni ajabu ukikataa ju wapo wamenikubali
this is for me you me you and ma n+gga who died
i dont try am about to make you cry
siri anayo mungu hawaitambui ata waumini
na ndio maana mpaka leo bado hawajajua atakuja lini
get it ryt this is from ma f++kin self
poppin the beat flowing like your n0body else
time to shine,this is time to make it ryt
hope u gat coz you already knw wat a mean
niko full na chenye ntasema huwezi guess
naja mguu hamnitishi ata mkipita na benz
tangulieni me ntafika nachoamini hamniwez
already nshavuta picha nshausoma urefu wa fence
na hii ni more than what unaeza think in your braaain
hook
(niko full full zaidi ya vile mnadhani nafanya nnavyoweza me issue zangu mistari
chyzen dee daily mitaani msiniulize maswali
nawapoteza kimentally hiki kipaji ndio zali) +2
verse 3
already am ready slim like shady
l!ck some candy,always steady
hopin you can get back your money
na gangster alikimbia zamani
am the only dawg in the wild hakuna mezesha
transfer your money in my account ntaziregesha
napiga show mpaka kesha na hii yote n jah ameniwezesha
watabaki vinywa wazi soon sionekani mtaani
majibu yangu yamekua mengi kuliko yao mswali
msomaji leo ndio mimi vuta seat nikupe habari
me ni mvuvi leo baharini kesho nchi kavu nauza mali
me ndio waat
me ndio heeading
mabao bado ni mengi still tukirefer kwa gaming
na smile over zile huonekana kwa wedding
baby like your style, way you behaving and you know wat
i like the way you shakin’……..
Random Lyrics
- thrilly - sauce lyrics
- kieran the light - hurricanes lyrics
- deadgreenbird - empty cave (intro) lyrics
- charlize ramirez - cold water lyrics
- loney269 & kimmo - faxen mit der bande 2 lyrics
- pate projeqt - el cuento de cabezas lyrics
- jjxon - prayer lyrics
- vous worship - logic (miami mix) lyrics
- khalif, enrasta - для твоего вайба (for your vibe) lyrics
- foreign diplomats - skyline lyrics