abdu kiba - kizunguzungu lyrics
bila shaka huu ugeni sio mwingine wa single for real
najua ulipenda kuzunguka dunia hii
na leo umerudi kwa kunipa ripoti mi
mpaka home ukarejea, mizigo nkakupokea
mengi ukanielezea, ni mengi umejionea
hii dunia ina mengi matatizo
ulimwengu una vingi vikwazo
kabla hujafanya maamuzi ungepima
kipi nimetenda kwako ka kimepima
ni wivu ulikufanya ukasepa
na mashoga zako wewe wakakuteka
uko sodoma, kampala
arusha, mwanza wewe ulionekana
mama wewe ulionekana, wewe ulionekana
x2
k-mbe kizungu, k-mbe kizunguzungu cha mapenzi
kinamzingua ye
k-mbe kizungu, k-mbe kizunguzungu cha mapenzi
kinamzingua yeye
alinionyesha upole akitaka msamaha
aliyoyafanya nyuma kuk-mbuka jama
demo si j-po pema, hata ukipema si pema tena
mi nataka kuwa nae, naogopa mi kuwa nae
moyo w-ngu wa chuma unajenga kutu
nataka kuwa nae, naogopa mi kuwa nae
moyo w-ngu wa chuma umejenga kutu
mapenzi ya sasa tapeli, mapenzi ya sasa kwaheri
umejenga kutu
k-mbe wivu ulikufanya ukasepa
na mashoga zako we wakakuteka
uko uganda, kampala
arusha, mwanza we ulionekana
mama wewe ulionekana, wewe ulionekana
x2
k-mbe kizungu, k-mbe kizunguzungu cha mapenzi
kinamzingua ye
k-mbe kizungu, k-mbe kizunguzungu cha mapenzi
kinamzingua yeye
fundi tanga na njia sasa umerudi tena, mama
kiko wapi ulichokifata, wewe?
siwezi sema sitopenda tena
ila naamini umejunza
najua we ukipenda hayo maisha ya raha
na mimi kw-ngu ikaja ikawa karaha
nasema ne-ne-nenda dada, ne-ne-nenda dada
najua we ukipenda hayo maisha ya raha
na mimi kw-ngu ikaja ikawa karaha
nasema ne-ne-nenda dada, ne-ne-nenda dada
x2
k-mbe kizungu, k-mbe kizunguzungu cha mapenzi
kinamzingua ye
k-mbe kizungu, k-mbe kizunguzungu cha mapenzi
kinamzingua yeye
Random Lyrics
- haley bonar - stupid face lyrics
- hole - how dirty girls get clean (demo version) lyrics
- banks - gemini feed lyrics
- rodge feat. sam hemingway - done looking for love (radio edit) lyrics
- mark schwaber - the whisper no one else can hear lyrics
- mark schwaber - island of the burning trees lyrics
- dj neptune feat. mr eazi - marry lyrics
- young toronto - aftermath lyrics
- ricegum - faze blaziken diss track lyrics
- trygve skaug - port of tyne lyrics