abel marc ndemba - mina lia lyrics
[intro]
baby ni wewe tu, peke yako una kua na nguvu zothe jo kuamana na kibilia kwako leo, nyosha mukona wako wa nguvu saidiah mayisha yangu, na kuja ni kwako tu baba
oh oh oh oh oh oh
[verse 1]
sikiliza kilio changu na hona ndani ya roh yangu na homba baba unipe salamah
sikiliza kilio changu na hona ndani ya roh yangu na kweli baba unipe salamah
na teseka duniani moyo w+ngu ime choka kweli baba usi niache
na teseka duniani moyo w+ngu ime choka na homba baba usi niache
[verse 2]
sikiliza kilio changu na hona ndani ya roh yangu na homba baba unipe salamah
sikiliza kilio changu na hona ndani ya roh yangu kweli yesu unipe salamah
na teseka duniani moyo w+ngu ime choka kweli baba usi niache
na teseka duniani nguvu zothe zinani malizika kweli yesu usi niache
[hook]
mina lia baba, usi niache yesu
mina lia baba, usi niache yesu
[bridge]
na kimbilia kwako
na kimbilia kwako
na kimbilia kwako usi niache
na kimbilia kwako
na kimbilia kwako
na kimbilia kwako usi niache
[hook]
mina lia baba, usi niache yesu
mina lia baba, usi niache yesu
mina lia ah ah usi niache yeau
na lia, mina lia, mina lia usi niache
na lia, mina lia, mina lia usi niache
na kimbilia kwako
na kimbilia kwako usi niache
Random Lyrics