ackley taro - honie official audio lyrics
ninapo kuona kwa picha
ungejuwa jinsi gani ninavyo umia
na moyoni mw+ngu baiby
tayari mwenzako ushaniteka
na meseji zako mdoli
ninaposoma zinaniliwaza
kwenye kilenge cha penzi
mwenzako nabaki naweweseka
ninapo kuona kwa picha
ungejuwa jinsi gani ninavyo umia
na moyoni mw+ngu baiby
tayari mwenzako ushaniteka
na meseji zako mdoli
ninaposoma zinaniliwaza
kwenye kilenge cha penzi
mwenzako nabaki naweweseka
ninakuita honie (nakuita honie)
don’t ever go away (don’t ever go away)
ninakuita honie (nakuita honie)
don’t ever go away (don’t ever go away)
ninakuita honie (nakuita honie)
don’t еver go away (don’t ever go away)
ninakuita honiе (nakuita honie)
don’t ever go away (don’t ever go away)
mmi najua we kiboko
tena kiboko ya wote
wana kutambua wengi
lakini kwako sikati tamaa
ila kwa huba kidani
mwenzako usinipige chenga
mmi najua we kiboko
tena kiboko ya wote
wana kutambua wengi
lakini kwako sikati tamaa
ila kwa huba kidani
mwenzako usinipige chenga
ninakuita honie (iyeee iyeee)
don’t ever go away (don’t ever go away)
ninakuita honie (iyeee iyeee)
don’t ever go away (don’t ever go away)
ninakuita honie (iyeee iyeee)
don’t ever go away (don’t ever go away)
ninakuita honie (iyeee iyeee)
don’t ever go away (don’t ever go away)
usione nimetulia
ukasema mwenzako nimesonga
k+mbe moyoni akilini
mawazo chungu yananisonga
tena usije chelea
mchelea mwana kulia hulia yeye
na heshima ulonipa
kwa nyumba yako mwenyewe nalipa
usione nimetulia
ukasema mwenzako nimesonga
k+mbe moyoni akilini
mawazo chungu yananisonga
tena usije chelea
mchelea mwana kulia hulia yeye
na heshima ulonipa
kwa nyumba yako mwenyewe nalipa
wana kutambua wengi
lakini kwako sikati tamaa
ila kwa huba kidani
mwenzako usinipige chenga
wana kutambua wengi
lakini kwako sikati tamaa
ila kwa huba kidani
mwenzako usinipige chenga
(usinipige chenga)
nina kuita honie (my honie)
don’t ever go away (don’t ever go away)
nina kuita honie (my honie)
don’t ever go away (don’t ever go away)
nina kuita honie (my honie)
don’t ever go away (don’t ever go away)
nina kuita honie (my honie)
don’t ever go away (don’t ever go away)
Random Lyrics
- il silenzio nelle mani - come dietro un vetro lyrics
- omar courtz & de la rose - q u e v a s h a c e r h o y ? (slowed down) lyrics
- the looms (nj) - before the sun comes up lyrics
- filo - szembogara lyrics
- caicos - washed up lyrics
- ландыши (landyshi) - значок (pin) lyrics
- benyatchou - rhapsody lyrics
- nosdek - estilo banger lyrics
- something's cursed - midnight surgery lyrics
- new edition - you're not my kind of girl (extended instrumental) lyrics