azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

akoth - waafrika lyrics

Loading...

waafrika aa aa aa aaa, waafrika

kenya uganda tanzania somalia, sudan ethiopia eritrea djibouti
south africa botswana namibia, zimbabwe zambia malawi
mozambique ee

haya ee ee ee eee,

waafrika tuamkeni ii ii ii ii ii, waafrika shangilieni ii ( la la lalalaa )
waafrika tuupendane ee ee ee ee, waafrika tuungane ee ( la la unite
)
waafrika tuombe mungu uu uu uu uu, waafrika tuko pamoja aa ( la
la we are one )

congo cameroon gabon madagascar, angola rwanda burundi
ghana
nigeria togo benin chad, algeria egypt libya tunisia aa

haya ee ee ee eee,

waafrika tuamkeni ii ii ii ii, waafrika shangilieni ii ( la la lalalaa)
waafrika tuupendane ee ee ee ee, waafrika tuungane ee (la la unite)
waafrika tuombe mungu uu uu uu uu, waafrika tuko pamoja aa ( la
la we are one)

morocco mauritania ivory coast, sierra leone guinea bissau
liberia gambia mali senegal, waafrika wote, wote waafrika aa

haya ee ee ee eee,

waafrika tuamkeni ii ii ii ii, waafrika shangilieni ii ( la la lalala )
waafrika tuupendane ee ee ee ee, waafrika tuungane ee
( la la unite )
waafrika tuombe mungu uu uu uu uu, waafrika tuko pamoja aa ( la
la we are one)

mungu bariki afrika aa, god ble … ss afrika
mungu bariki waafrika wote, god bless all africans
mungu tawala afrika aa, god le … ad africa
que dieu benise laafrique oo, que dieu benise tous les afrikens
que dieu delije laafrique oo, que dieu delije tous les afrikens

moja mbili tatu, piga makofi we cheza kwa ujuzi wee
one two three, clap your hands make a joyful dance
moja mbili tatu, piga makofi we cheza kwa ujuzi wee
one two three, clap your hands make a joyful dance



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...