azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

akothee – yuko moyoni lyrics

Loading...

simziki kwa pesa wala nguo, sijasoma wala piga hatua la chuo
tena nina madeni mpuguo lakini kadata na mimi
mimi katasaye funguo, anazama nami bila kituo

na rangi yangu ya kijaluo ndio inamkata ulimi
usitoe jonzi langu ona sasa nimetulia

nampa moyo w-nguu, kanipa wake namtunzia

anipigi roho anipa kubwa kubwa sidongo

nikimpa kidongo, tamu mpaka nakuna kisogo x2

la laaaah ananichanganya changanya yuko moyoni
la laaaah kaniweza moyoni mpaka wengine sioni x2

le leeeeh yuko moyoni mpaka wengine sioni
yuko moyoni ata wengine sioni x2

yeye aliponifanyia mapenzi nilijuta, nikajifanya ngamia siwezi anguka
sikuacha kulia moyo ukinisuta, nimezunguka dunia leo nimemkuta
(mi na yeye ye yeyeee, ye na mimi mimiiii)x2
eeeh uchungu uu mwende mataniti si msitupange
maana chungu kimepata mpini wacheni akitw-nge.x2

la laaaah ananichanganya changanya yuko moyoni
ba baaaah kaniweza moyoni mpaka wengine sioni x2

le leeeeh yuko moyoni mpaka wengine sioni
yuko moyoni ata wengine sioni x4

my sweet potato ooh oohhh, my tomato jossy ooh ohh
u’ll never go back king ooh, for i love you x2

ah ha ha ha basi uza simu ununue voucher

kwa story za umbea joh.

he he he, hi hi hi
akothee black beauty
goja kwanza

endless, flawless, ebonileess
ha ha ha aaaaaiiiih



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...