azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

aleinyo kims - story ya boy wa dandora lyrics

Loading...

{aleinyo(chorus)hii ni story ya boy wa dandora, story boy wa dandora,story ya boy wa dandora} yo,ilianzanga tu ivo kimchezo mchezo mtoi alikuwa tu mdogo ashaanza kuaribika,maadvice ndizo izo ashadungwa na maparo lakini wapi?ameanza kuwa na tunywele ndegu ndegu ameambiwa achanue nywele ashakataa kabisa,by this time anago school lakini mara ya mwisho alidropout kuanza kuwa na company na watoi wenzake ashaaribika kabisa ,usisahau mabeshte zake ni vipii tu ka yeye ashaanza kuharibika kabisa tudredi ndo uto ashaanza k-meesha kuanza kujifanya ati mrui wa mtaa,kila mahali penye anago anadai kwamba ni boy wa dandora kwanza ye anadai kwanza ni gangster na usisahau ni sa izo katoi kadogo kanajaribu kujishasha ile mbaya mbovu ile sirious kabisa sababu enyewe anadai kwamba yeye ni gangster tu wa dandora,gangster wa dandora,sa izo ashaanza kuhariba ashaaza kuvuta ndome ashaanza kuharibika. kila penye anago wasee wanamjua kwamba yeye ni kijana mwingine ameharibika tu kabisa,yo macho ishakuwa red kabisa siunajua ka kawaida venye anakuwaga ameharibika kabisa?yo alianza tu ivo step by step akaanza kutumia madrugs akaanza kujiinject sa izo bado anaanza kucheza makamare na waboyz wenzake huko mtaani tu na bado anadai kwamba yeye ni boyz wa mtaa(chorus)yo story ya boy wa dandora,story boy wa dandora yo,sasa wakaanza kutafuta magunz venye wataanza kusanyasanya wasee, alianzaga tu ivo pole pole akianza kusanyasanya wasee tu mab vitu kama mambota,wakaanza kusanyasanya vitu kama manangos,na bado unadai ati yeye ni boyz tu mdogo wapi boy ashaharibika kabisa na usisahau by this time ati ni kipii bado,ashaanza kuwa mkubwa kabisa sa izo boy ashaanza kuwa mrefu kabisa ashaanza kutishatisha watu mpaka mabuda wabigi anawachapa ovyo ovyo na bado ni boy wa mtaa yo,ata mi nilikuwa nashangaanga tu sana nikiskia story ka iyo yo boy ashaanza kuwa mkubwa sasa usisahau kwamba streets ndio washamshikisha washaanza k-mtairisha ashaanza kuwa mkubwa kabisa sasa washaanza kusanyasanya zile vitu kubwa kubwa yo, maak47 ndizo izo washaanza kuzishikashika washaanza kuhijack magari washaanza kushikashika wasee wengine ata wanamadamada wasee kwenye streets yo, especially kwanza kama wanahijack izo mandae izo kubwa kubwa yo doo na izo ndo izo anaanza kuzishika na boy usisahau bado ni mayoung kabisa macheda zimemfanya akakuwa crazy a young n-gga na badi ako hooked up on such things na bado unadai ati kwamba iyo ni getto,na ni ukweli hiyo ni getto sababu ata ukiachunguza vizuri enyewe ni maisha ya dandora venye inakuwaga so complicated. boy ashaanza kuingia uko mukuru a ka kawaida anaanza kufanya mafishy businesses lakini auwezi mblame enyewe sababu enyewe iyo ni story ya dandora, (chorus)story ya dandora,story ya dandora yo boy ashaanza kuharibika tu kabisa ile sirious kabisha yo. kama ocampo six ashaingia list ya most wanted dandora mzima jo anatafutwa na akina bigi most wanted,sa izi sasa mak47 ndio zinashika yo,boy ashaharibika kabisa kujaribu kudungwa maadvise mpaka na manzi yake amekataa kabisa,madem nao ndiyo awo washaanza k-mtegea kila mahali na usisahau sa izo kwanza ni sura ingine mbaya kabisa, mascars zimejaa kwa uso sababu place zingine alikuwa akigo mob justice nao ndiyo ao washaanza k-mkuta lakini boyz bado ajai skiza yeye ni hardcore ile mbaya mbovu yeye ni kichwa kubwa lakini ni mrui kabisa ajawai fikiria ata maisha venye itakuwa sababu mara ya mwisho ni k-malizwa atamalizwa yo,na h-ll venye inakuwaga mbaya na ati wanasenga kwamba aijuaye adhabu ya kaburi ni maiti(yo story ya dandora,story boy dandora st(chorus-5)yo,) boy ashaharibika kabisa mara tu ya mwisho walipatikana na mabeshte wakiwa jobless corner wakaambiwa wainue mikono juu wakaingizwa mahali fulani uko dondora ka kawaida inakuwaga ni kichinjio,washaanza kulalishwa chini wameambiwa kwamba nyinyi kwanza siku yenyu ishafika sasa ni kuwamalizia tunawalizia ombeni maombi yenyu ya mwisho washafyetuliwa marisasi,boy wa dandora akamalizwa hapo hapo,mara that that izo marisasi zishaanza kulialia. by wa dandora, grau ndiyo iyo ishaanza kulialia damu imemwagika imemezwa na grao,story ya boy wa dandora,marisasi ndio izo,story ya boy wa dandora. jia aha hii ni funzo kwa wasee wote wa dandora especially kwanza maboyz wadogo jia aha yo hii tunakeep it better uku especially kwanza uku dandora hii ndio maisha ya kuhustle kwenye streets na akuna kitu yenye mnatuskiza lakini skiza kitu moja, enyewe mnafaa kuskiza venye mnapewa maadavice zote zenye mnapewa na msee yoyote mnafaa kuikeep it real sababu enyewe hii inakuw-nga ni maisha yenyu eeh ivo ndo kunakuwaga,iyo ndo form
end



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...