ali kiba - chibaba lyrics
[intro]
ooh
ooh
ooh
yo!
alright
ah
ah
ah
ah
ah
ah
eh, mama
yeah, mama
[verse 1]
mwenye sura ya makokoto
k+mpata ni protocol
kamejawa na madeko
ah, kana madeko, ah
kwa kuringa kanaringa
kana mambo ya kitoto, toto
mwenzenu mi ndio napenda
ugonjwa w+ngu ‘mi napenda
[bridge]
ka kicheka, mi nalia
jama kananivutia
mali yangu ikija liwa, oh
mi nitachanganyikiwa, ah
ka kicheka, mi nalia
mi nalia, kananivutia
mali yangu ikija liwa
mi nitachanganyikiwa
[pre+chorus]
(ah, olala,lala)
ni mzuri huyo, nampenda huyo, huyo
(ah, olala, lala)
mali yake, roho safi, oh+oh
(ah, olala, lala)
safi, oh
ni mzuri huyo, nampenda huyo, huyo
(ah, olala, lala)
mali yake, roho safi, oh+oh
roho safi, oh
[chorus]
chimama
…
chibaba
(chibaba)
mmm
[verse 2]
akaanza niita chibaba, chibaba, oh
chibaba
nami namuita chimama, chimama, wa mboga saba
wa moto, oh
shepu, jicho mpaka shingo
yaani [?] mashallah
sitaki tena kuwa single, oh, oh
[bridge]
ka kicheka, mi nalia
jama kananivutia
mali yangu ikija liwa, oh
mi nitachanganyikiwa, ah
ka kicheka, mi nalia
mi nalia, kananivutia
mali yangu ikija liwa
mi nitachanganyikiwa
[pre+chorus]
(ah, olala,lala)
ni mzuri huyo, nampenda huyo, huyo
(ah, olala, lala)
mali yake, roho safi, oh+oh
(ah, olala, lala)
safi, oh
ni mzuri huyo, nampenda huyo, huyo
(ah, olala, lala)
mali yake, roho safi, oh+oh
(chibaba)
roho safi, oh
(chibaba)
[bridge]
yup!
(instrumentals)
ooh
(chibaba)
ooh
ooh
(chibaba)
ooh
ooh
(chibaba)
mmm
[outro]
chimama
…
chibaba
Random Lyrics
- niontay - 10/4 lyrics
- vinayvvs - gold sheep lyrics
- ginger_der_lyiker - spring lyrics
- turrobaby - pendejo atrevido lyrics
- nutu - flash, flash lyrics
- king baganda - my dani lyrics
- worm hero - pink eternal (dedicated to brianna ghey) lyrics
- five the general - on my grind lyrics
- kevvbmm - no goodbye say later lyrics
- chris connor - indian summer lyrics