ali kiba - cinderella lyrics
verse 1
mara ya mwisho mimi na wewe
kuonana kipindi kile twasoma
shule ya msingi kigoma
najua ulinipenda
ila hukutaka penzi kulilinda
ungesema mapema
iliniuma sana
mimi leo niko dar
aliniyenipenda nishamuoa
je wataka k+mjua jina?
aitwa cinderella
rudi home wewe
rudi nyumbani
wasalimie kigoma
waambie nishaoa
chorus
ulinitesa sana
sababu nilikupenda wajua
kijijini kwa bibi kigoma
iliniuma sana
mimi leo niko dar
aliniyenipenda nishamuoa
je wataka k+mjua jina?
aitwa cinderella
rudi home ww
rudi nyumbani
wasalimie kigoma
waambie nishaoa
verse 2
hakuna ajuae rangi ya kinyonga
zaidi ya yeye mwenyewe na muumba
nami nakujua wewе huwezi ringa
baby baby
nakuona u mnyonge sana
nami nilikuwa hivyo kule kigoma
usiliе kwa uchungu bwana
imekutachi sana
mimi leo niko dar
aliniyenipenda nishamuoa
je wataka k+mjua jina?
aitwa cinderella
rudi home wewe
rudi nyumbani
wasalimie kigoma
waambie nishaoa
repeat chorus
verse 3
uliniadi mapenzi ni kweli uliniteka
kadri siku zilivyozidi baby ukanitesa
mami mara uko bize mami
mi mshamba wa mapenzi
si ndo wakashare nami
kila ninapokuona, ninapokuona
moyo un+z+ma nak+mbuka tu kigoma
nakosa raha mwenyewe si unaniona
ila cinderella kapoza moyo kuchoma
mmmh! mi nachoka haki ya mungu
inga(wa) ni gani kiasi baby najua machungu
ningetaka kuwa nawe
ningetaka kuwa nawe
ningetaka kuishi nawe
ila tu mm nimeshabaini
hiyo ni true mami
nishampata mwingine ambaye anayenifaa
repeat chorus
Random Lyrics
- folf - в дурку lyrics
- buzz (grc) - λίγοι (ligoi) lyrics
- masetti - ease your soul lyrics
- anne murray - when i can't have you lyrics
- david - knock a few doors lyrics
- colbie caillat - i'll be here lyrics
- mitch wong & hope darst - burial lyrics
- the gods (uk) - momma i need lyrics
- stackoflava - escobar lyrics
- masetti - already know lyrics