ali kiba - huku lyrics
verse + (tommy flavour)
juu yako kibudu nimedead, aah fanya utakavyo am ready aaah mh
baby baby tuspend aah, maisha yenyewe mafupi no dead line, aah ooh
bridge chorus
huku nishike huku, aah huku baby huku eeh
huku nishike huku, huku baby huku
instrumental playing
verse + (tommy flavour)
we pisi kali hushindani na vikaragosi oooh oh vikaragosi
usije ukanimwaga mwenzio ntalost ooh utanimaliza
bridge chorus
huku nishike huku, aah huku baby huku eeh
huku nishike huku, huku baby huku
instrumental playing
verse + (alikiba)
una hofu na monalisa na aisha, wakati we ndo unanimaliza
unanimaliza aah, we ndo unanifaana ni fire aah
ooh wale vikaragosi oooh
wapi wapi wapi, wapi nishike huku
wapi nishike huku
wapi huku wapi nishike huku
ooooh oh lisarah lisarah ooh nadi ana didiana, oooh unanimaliza
bridge chorus
huku, nishike huku, “(shika huku)”
huku, baby huku, huku, nishike huku, huku
baby huku
bridge
kata kidogo, nata na mikogo
nataka kidogo
kasweet kama jojo katoto ka model
kata kidogo, nata na mikogo
nataka kidogo
kasweet kama jojo katoto ka model
outro
ooooh oh lisarah lisarah ooh nadi ana didiana, oooh……………….!!!
instrumental playing
themix k!ller
Random Lyrics
- akemyakura - i can not fall asleep lyrics
- hillsong em português - tu és lyrics
- blerp - come along with me with lyrics lyrics
- cruz (pol) - młodzik in deep concentration lyrics
- eslabon armado - me decepcionaste lyrics
- gareth dunlop - what it wants lyrics
- dara bubamara - za tvoju ljubav lyrics
- liri91 - flieg lyrics
- soul yce - ta! lyrics
- sima bina - zolfaye yarom lyrics