ali kiba - karim - remix lyrics
[verse 1]
nilimkuta akinung’unika
dunia imemtupa
kwa mola na malaika
labda amekasirika
[chorus]
yakarimaa
ya maulanaa aah
yalatifuaah
ewe molaa
[verse 2]
alfajiri aliamka
na kwenda kutafuta
hakuna alichoshika
mdomoni kuweka aah
[chorus]
yakarim aah
yamaulana aah
yalatifu ahh
ewe mola ahh
[verse 3]
na sasa ni saa 7 ya usiku na dakika
anasoma dua ya kulala asije dhurika
kwa walimwengu wa sasa na vibaka
alale salama ili kesho apate amka
pembezoni mwa barabara karim alilala eeh
moyo wake ukijua riziki amekosa eeh
na mapenzi kwa mola wake yako pale+pale
[chorus]
yakarim eeh
yamaulana aah ahah
yalatifu aah
ewee mola oohohho
[verse 4]
alipita mama mmoja ni mfanyabiashara
pembezoni kidogo mwa karim
alikuwa amebeba sufuria kichwani
akajikwaa kidogo akaangusha chini
karim akishtuka toka usingizini
akakuta chakula kimemwagwa chini
alifurahi sana milele, milele
alishukuru mola milele
alimuomba mola milele, milele
mola wa karim, wa latifu
mola wa mola uliye juu uuh
unayetupa vyote unayetuwezesha sisi
viumbe wa dunia na ahera kwa ujumla
[chorus]
ya karimu
ya latifu wewee eeh
ewe mola muumba wa dunia
ulimwengu mzima aah
ooh ah eeh
ewe mola aah
Random Lyrics
- crzee - betray lyrics
- josh morse & brianna morse - 10 yr old tantrum (tv on) lyrics
- qwop (atl) - first class tonight lyrics
- 5tion (오션) - my valentine lyrics
- vyncent flaw - everything is fine lyrics
- shamlo - do u even think of me? lyrics
- flowlover - глоток свежести (a breath of freshness) lyrics
- jamin - run lyrics
- sinderr - na mnie jest czerwony lyrics
- elogy - eager are we lyrics