ali kiba - kheri lyrics
[intro]
oh, yeah no
mmm
yo!
mocco
[verse 1]
mi sinaga kulipiza
[?] hiyo
(woh! [?] hiyo, hiyo)
kupenda kupitiliza
you know that is true
ah, kukupata miujiza
baby you, girl
umenituliza roho, oh
(umenituliza)
[pre+chorus]
ah, natamani hii dunia ingekuwa yako
moyoni nimekuamishia, ‘kaa pekee yako
toka zamani ningekujua
ningekuwa wako
moyoni nimekususia, ‘kaa pekee yako
[chorus]
kheri
(oh)
kujuana nawe, baby
(oh)
ooh, ooh
ah
ma, kheri
(oh, oh…)
kujuana nawe, baby oh
(baby)
baby, yeah
(baby)
[verse 2]
kanikamata kwenye koo
oh, ananiliwaza kwa roho
(kwa roho, kwa roho)
oh, mahaba shikamoo, ooh
oh, yamenilemaza kwa roho
roho
ooh, oh, ooh, oh
[bridge]
she’s my darling
she’s my darling
she’s my darling, yeah
mtoto mzuri na show, show hatari
show hatari
show hatari
(yeah)
[pre+chorus]
ah, natamani hii dunia ingekuwa yako
moyoni nimekuamishia, ‘kaa pekee yako
toka zamani ningekujua
ningekuwa wako
moyoni nimekususia, ‘kaa pekee yako
[chorus]
kheri
(oh)
kujuana nawe, baby
(oh)
ooh, ooh
ah
ma, kheri
(oh, oh…)
kujuana nawe, baby oh
(baby)
baby, yeah
(baby)
[outro]
kheri
khe+khe+kheri
the mix k!ller
khe+khe+kheri
Random Lyrics
- svnsets & shawn hook - crazy love lyrics
- finsky ice - пицца моей мамы (my mother's pizza) lyrics
- missey - lanciavamo segni al cielo lyrics
- xassa - нло (мадмуазель) [ufo] lyrics
- hugo toxxx - zoo lyrics
- 616 undone. - illuminate lyrics
- slump6s - pay me back lyrics
- i draw slow - sisken song lyrics
- john trevor - release lyrics
- nick leway - outer space lyrics