
ali kiba - kimasomaso lyrics
[chorus]
kimasomaso mwanangu msimuone maso
kimasomaso mwanangu msimuone maso
mwanangu msimuone maso
mwanangu msimuone maso
mwanangu msimuone maso
mwanangu msimuone
mmm
[verse 1]
nimemuona mimi katoka kimaso maso
uzuri anao na sura naitangaza hii leo
waache waache wanafki leo mtajionea
yaliyosemwa jana yamejirudia haya haya
unalia nini mwenzako nishajenga nyumba
ya kuishi sisi wawili tujenge tuwe na family
waache wayaseme wewe leo uko na mimi
natule hizi raha tusahau ya duniani
mmm
[chorus]
kimasomaso mwanangu msimuone maso
kimasomaso mwanangu msimuone maso
mwanangu msimuone maso
mwanangu msimuone maso
mwanangu msimuone maso
mwanangu msimuone
mmm
[verse 2]
jana na juzi ya mama ya alah
nilikatiza ile kona nikakutana na vijana
eti wamenuna kisa mwenzao nishaoa
ujana maji ya moto yata wakanda msipooa
hivi punde nitaingia shamba na nitavuna nilicho panda
kama ni dume dume la mbegu
ally mashaalah
nitazidi k+muomba mola anilindie mashaalah aaaee
[chorus]
kimasomaso mwanangu msimuone maso
kimasomaso mwanangu msimuone maso
mwanangu msimuone maso
mwanangu msimuone maso
mwanangu msimuone maso
mwanangu msimuone
mmm
[verse 3]
mwanangu msimuone
wote msimuone, mke boraa, msimuone
mashunge mwona, wote msimuone
kipato shangununa wa mitaa msimuone
mtuachee mtuache jamani msimuonee
aaaa mwanangu msimuonee
kimasomaso, msimuonee
kimasomasoo, msimuonee
mwanangu msimuone
[chorus]
kimasomaso mwanangu msimuone maso
kimasomaso mwanangu msimuone maso
mwanangu msimuone maso
mwanangu msimuone maso
mwanangu msimuone maso
mwanangu msimuone
[outro]
wote msimuone, mke boraa, msimuone
mashunge mwona, wote msimuone
kipato shangununa wa mitaa msimuone
mtuachee mtuache jamani msimuonee
aaaa mwanangu msimuonee
kimasomaso, msimuonee
kimasomasoo, msimuonee
Random Lyrics
- okaymar - trip lyrics
- yelawolf & j. michael phillips - i swear lyrics
- хас (has) (ua) - be first lyrics
- hande ünsal - lovelandım lyrics
- tisma & guydelafonsdal - teh de zat lyrics
- sleep token - gethsemane lyrics
- kay jay the quiet_kidd - unique lyrics
- loco (로꼬) - random summer night lyrics
- bractwo - 6lok kochanie lyrics
- jimmy levy - bad vibrations lyrics