ali kiba - nahodha (acoustic) lyrics
[intro]
yo!
yeah, baba
(instrumentals)
na+na+na
na+na, na+na, na
na+na
ma feeling make it
na+na, na+na, na
[verse 1]
najiona wa ajabu, eh
nikijitazama
hivi naota, ah
ama nachanganyikiwa?
joto nalo la shuka digiri
waliniliza tbt
na moyo w+ngu nishakupa na’
[chorus]
na wewe ndio nahodha
wa meli yangu
uhitaji cv, woah, oh
hata ukinge [?]
tuwe salama, ah
atuepushe na mabaya ya wengine, yeah
[post+chorus]
maana, najiona
nachanganyikiwa ‘oh, nyikiwa
ndama, nanona
na nyonyeshwa maziwa, ‘oh, maziwa
oh, ah
[bridge]
na+na+na
na+na, na+na, na
na+na
na+na, na+na, na
(ah!)
[verse 2]
kama mapenzi ni jihad
tuko peponi
kwa jinsi tulivyo pambana na hali, ‘yetu rohoni
kuna vijibe vya nafsi ya wale waroho, oh, waroho
wanaosubiri tuachane hata kesho
sisi bado
[pre+chorus]
sisi bado (na+na+na, na+na, na+na, na)
oh, oh, oh
oh, sisi bado (na+na+na, na+na, na+na, na)
kuachana sisi bado
sisi bado, woah, woah, oh, wah
sisi bado, woah, woah
[chorus]
kwani na wewe ndio nahodha
wa meli yangu
uhitaji cv, woah, oh
hata ukinge [?]
tuwe salama, ah
atuepushe na mabaya ya wengine, yeah
[post+chorus]
maana, najiona
nachanganyikiwa ‘oh, nyikiwa
ndama, nanona
na nyonyeshwa maziwa, ‘oh, maziwa
oh, ah
[bridge]
na+na+na
na+na, na+na, na
na+na
na+na, na+na, na
[outro]
na+na+na
na+na, na+na, na
na+na
na+na, na+na, na
Random Lyrics
- kendrick lamar & the notorious b.i.g. - notorious thugs / hol' up (mixed) lyrics
- tripsitta - waste lyrics
- exagram - din nou lyrics
- low life(ua) - rich boy shit lyrics
- the kid unknøwn - the kid unknøwn (freestyle) lyrics
- restag - nick & charlie lyrics
- organize - her yanım keder* lyrics
- haffway - burden (with sam macpherson) lyrics
- sarunosa - do it for her (og) lyrics
- kantstressk - woo lyrics