ali kiba - wife wa dunia lyrics
[verse 1]
mwanzo nilikuona
sijui nilikuona na nani eeh
kwani najitahidi niwe na wewe yah we
kama ni ujanja
mwenyewe unajua me sina
wololo wololo wololo
zile porojo zangu zinapokuona zin+z+ma
yaani nikikuona me aah
kichwa kinaniuma
ata mwili w+ngu ooh
aah yawe eeh
macho yangu yametoa machozi sana
lakini moyo w+ngu una furaha
ya kukuona wewe kila siku
kila siku iendayo kwa mungu
ona machozi yatoka eeh
bila ata kuyavuta
[chorus]
nakupenda wewe
nakufikiria wewe
lini nitakuwa na wewe
mimi nakupenda wewe
nakupenda wewe
nakufikiria wewe
lini nitakuwa na wewe
mimi nakupenda wewe
wife wa dunia nakupenda
[verse 3]
huku nagumana
rhumba napiga na nani moyo w+ngu
maana naona picha hata kama siwezi soma
navuta hisia aah nalia kwani inaniuma sana
moyo w+ngu unaumia kwani inaniuma sana
ooh me nakupenda sana ila wewe hujui kabisa
[bridge]
nna moyo unangoja unangoja
lakini najua hautakuja
na bado naamini
utakuja uwe nami kimaisha
nna moyo unangoja unangoja
lakini najua hautakuja
na bado naamini
utakuja uwe nami kimaisha
nna moyo unangoja unangoja
lakini najua hautakuja
na bado naamini
utakuja uwe nami kimaisha
nna moyo unangoja unangoja
lakini najua hautakuja
na bado naamini
utakuja uwe nami kimaisha
[outro]
dole dole
dole gumba
dole dole
dolemifamirado
Random Lyrics
- true duology - blueprint lyrics
- duzk666 - se ke no me extraña lyrics
- massage attack - junk corner on my mind lyrics
- sweet love - bad guy lyrics
- toni zeno - una sarpa lyrics
- tuesdxy - i like dead things lyrics
- camelll - ozbiljno neozbiljan lyrics
- joelma - botar pra chorar lyrics
- dj fku - montagem eclipse lyrics
- piff padrino - i love you i hate you lyrics