azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

alikiba - mahaba lyrics

Loading...

siku hizi hakuna mahaba
yeah, mahaba
mapenzi ya mkataba
mpaka kufa, yamekwisha

ni neema ukiwa unahema
mapenzi yanachosha, yanafuja raha
nafsi yangu inasema
bora nimpende tu alionizaa

uchungu wa kulia daily
mapenzi yalinifanya nisile
sina k+mbuk+mbu ile
kwamba ulinikosha, no!

uchungu wa kulia daily
mapenzi yalinifanya nisile
sina k+mbuk+mbu ile
yakwamba ulinikosha, no!

mwenzako mi’ nilikufa, nikazikwa, nikaoza
mapenzi yalinitesa, yalinitupa, nimefuf+ka, yeah
mi’ nilikufa, nikazikwa, nikaoza
mapenzi yalinitesa, nimefuf+ka, yeah

s’kiza kwanza we dada
we dada
mi’ sio mgeni alishanikaba
mapenzi yalinikausha
natamani kuwa single
ila nna+upwilu unakaba koo

mabinti wenye vifundo
hao ndio mi’ wananitoa roho
na siri juu ya jambo lile
ni kama chakula lazima nile
mi’ mbovu sana wa jambo lile
na ufundi wa kutosha, ooh

na siri yake tuu jambo lile
ni kama chakula lazima nile
mi’ mbovu sana wa jambo lile
na ufundi wa kutosha, ooh
mwenzako mi’ nilikufa, nikazikwa, nikaoza

mapenzi yalinitesa, yalinitupa, nimefuf+ka, yeah
mi’ nilikufa, nikazikwa, nikaoza
mapenzi yalinitesa, nimefuf+ka, yeah



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...