azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

alpha - yamungu lyrics

Loading...

kama mipango ya mungu ungekua yao ni ngeshapoteza yangu roho.
baba kanilinda kanipa michongo, singekua upendo wake leo, leo ngebaki story ya kwao
leo ningebaki k-mbuk-mbu kwao.

(yeah)ya mungu (yeah mipango) ya mungu (yeah mapenzi yeah)ya mungu sio kama ya watu(×3)

walisemaga ati kufa maskiini maisha yangu yatazidi kua duni, nitateseka sina lolote mjiini
nikateseka nkabaki jasiri(oooh) nikamuachia maulana w-ngu mkombozi.nikamuachia maulana w-ngu mkombozi.

(yeah)ya mungu (yeah mipango) ya mungu (yeah mapenzi yeah)ya mungu sio kama ya watu(×3)



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...