![azlyrics.biz](https://azlyrics.biz/assets/logo.png)
ambwene mwasongwe - enzi zile za elia lyrics
Loading...
enzi zile za elia, israel waliasi walimwacha mungu wao
wakaabudu miungu, ulifanyika mkutano mkubwa
kati ya elia na manabii wa baari, ndipo elia akamtaja
mungu wake kwa ujasiri
(namjua) namjua (mungu w+ngu, yupo hai)
anaishi, (anaishi) mungu w+ngu
(amesema) mungu w+ngu, (nikimwita)
yeye (yeye ataitika) halelluya
(na ijulikane) na ijulikane leo
(yupo mungu) yupo mungu, yupo mungu wa elia
(atujibu) atujibuye (maombi) hata kwa njia ya moto
Random Lyrics
- neha kakkar - ek toh tum zindagani lyrics
- dro kenji - sky lyrics
- marc broussard - godspeed (sweet dreams) lyrics
- sawyer compton - bikr lyrics
- gian varela & disto - back up lyrics
- naked in public - contemporary american politics lyrics
- ortega - אורטגה - sha'veh kol shekel - שווה כל שקל lyrics
- eliana - the hurt that isn't shown lyrics
- sol - disk sim lyrics
- rare creatures - india lyrics