amo3560 - j city lyrics
search lyrics & more
jujacity
amo3560
[hook]
jujacity niko overdoze
jujacity niko overload
sina memory nataka kureload
jana zilishika mpaka overload
[verse]
duka la dawa nashika codein
sina maradhi but nimejipin
bila ilani na zinakick in
zangu zinashika na nina give in
hallucinogens zinanik!ll
squad wako trippy wamepop mapill
leo ni friday manze nimelose my chill
daily juu ya grind i want to bag a mil
i took a pill in juja
to show demakufu i was cool×2
diversion kwa maggy shika quota hivi
zikishika vision mbili mbili
kula hepy hapa jujacity
twende tukawake tupitie kwa maggy tupate jug hivi
jujacity niko fity niko trippy
jujacity niko hangy niko sleepy
superhighway doing 150 hivi
hawa ni kina nani kama si machizi
super faded bado tunakata maji right now
situation tricky n-ggas calm down
[hook]
jujacity niko overdoze
jujacity niko overload
sina memory nataka kureload
jana zilishika mpaka overload
[verse 2]
ace bar tuko aced up
ongeza beer tisa tuko messed up
zimeshika kila mtu drinks up
hbr ndani ya number tuko hyped up
shada zimefika leta lighter
twende kando tukalight up
ollie on the beat touch yake midas so infectious utadhani
virus, yeah
girl i love the way you wine
girl you make me lose my mind when you move it side to side
dame wa juja so devine i just wanna make you mine always keep you satisfied
took a pill in juja, to show demakufu i was cool ×2
vip ni ya masn0b, kama mejja me ntaparty na the others
ita waiter leta bucket hii ni meza ya mabrothers
hunnies wakikuja tutakua undercover yeah
ukitaka kuchana najuana na mweti ukitaka mashada
najuana na peddy form ikijipa marijuana na henny
ata usiulize ntaanza na any nacada ikifika itapata
nimededi yeah
niko gauge niko maji niko keroro
niko gauge niko maji niko keroro
Random Lyrics
- tin foil top hat - the superhero wins lyrics
- vengaboys - we like to party (the vengabus) (dj hardbell mix) lyrics
- alpha wann - pistolet rose lyrics
- stndout - make it work lyrics
- nolan lewis - passive-aggressive lyrics
- das flug - immer weiter lyrics
- algeia - nails of reaper lyrics
- cog - tokyo lyrics
- the sweater - завтра +7 (zavtra +7) lyrics
- wild - here we go lyrics