amstardaph - this is nairobi lyrics
[intro: amstardaph ]
hii ni nairobi bro
(amepotea na change)
lazima uitishe change ndio upewe, lazima ucheze ka janje hii nai
(haki ya mungu amenipitisha na amekataa na change)
hii ni nai buda, watapita na change
hii ni nairobi bro
hii, hii ni nai buda
[hook]
this is nairobi,watu wako robbing, (robbing, robbing)
this is nairobi, (the city, the city)
anza biz watu wanacopy (hey)
this is nairobi,watu wako robbing, (robbing) (uizi, uizi)
this is nairobi, anza biz watu wanacopy (ayy)
this is nairobi, watu wako robbing, (robbing, robbing)
this is nairobi, anza biz watu wanacopy (ayy)
this is nairobi, watu wako robbing, (uizi, uizi)
this is nairobi, anza biz watu wanacopy (hey)
kila msee anataka kakitu, (yea, yea)
kila msee anataka kakitu, (kakitu)
kila msee anataka kakitu, (kakitu)
kila msee anataka kakitu, (ayyy) (taka kakitu)
kila msee anataka kakitu, (kakitu)
kila msee anataka kakitu, (walai)
wakicheki msupa wako like, nani hukula hii kitu? (who dat)
[verse 1: amstardaph]
ulipata mroro, (ro, ro)
ukamkula raw, (raw, raw)
ukampea doh, (doh, doh)
but you don’t know (you don’t know, you don’t know )
alibuy pizza badala ya p2 (yeah)
9 months later anataka kakitu
iphone ndani bundles mwitu
fake it, watu watasee through (through)
kwani hujui, hizi vitu si designer (fake)
ni za inda ata si za china (fake)
its your money you can spend it how you like
buy followers tuchoche na malike (like)
tupa takataka kwa mtaro, mtaro zikiblock then you blame it on sonko (mike)
twitter unazua, “play 254” , kwa club mnaitisha bongo (bongo)
noma ni, no money (no, no)
karao wamezeesha machwani (chwani)
pedi alisema ni shash (chocha), ukapata nyasi ndani
haki ya nani, (ayy)
somebody call matiang’i (matiang’i)
pasi anataka kakitu ndio af-kuze saitani ghai
(ayy)
[hook]
this is nairobi
watu wako robbing, (wizi, wizi)
this is nairobi, (the city, the city)
anza biz watu wanacopy (ayy)
this is nairobi, (nairobi)
watu wako robbing, (robbing)
this is nairobi, (nairobi, robi)
anza biz watu wanacopy (ayy)
kila msee anataka kakitu, (taka kakitu)
kila msee anataka kakitu, (kakitu)
kila msee anataka kakitu, (taka kakitu)
kila msee anataka kakitu, (ayy)
kila msee anataka kakitu, (taka kakitu)
kila msee anataka kakitu, (walai)
wakicheki msupa wako like, nani hukula hii kitu?
[verse 2: amstardaph]
unasema we ni fan, ngoma hujai share
utagongwa mbele ya watu and the dont care (don’ care)
anza kutingisha wanaikodolea (kodolea)
endelea kutingisha wanainyemelea (fisi)
ukimpatia number anakutembelea (tembelea)
ka msumari ndani ya mbao anaiekelea (paah)
akishaichapa anakupotelea (potelea)
akishaichapa anakuchekelea (ayy)
ulibuy-ia dem pilau, ukadhani uko mbele (dhani uko mbele)
ukafika kejani madrinks akakuekea mchele (weh, rice)
akakutoka kila kitu, mtoto wa mama
ukiamka unadhani ulihama
ukiamka..ayy (ngori)
this is nairobi, watu wanapenda mariddim
dancehall, lamba lolo ni tibim (yah man)
watu wanapenda nyashinski, (shinski)
otile brown, sauti sol
msee ako na deni haezi pick ukicall
wanasema uko juu watacheka ukifall (fall, fall)
this is nairobi (nairobi)
kuhustle ni job hii si hobby (hobby)
tell a promoter, to tell a promoter, pia mi’ niko kazi (kazi)
pay me is cash, exposure si currency
(dont expose me)
[hook]
this is nairobi
watu wako robbing, (robbing, robbing)
this is nairobi, (the city, the city)
anza biz watu wanacopy (ayy)
this is nairobi, (nairobi)
watu wako robbing, (robbing)(wizi, wizi)
this is nairobi, anza biz watu wanacopy (ayy)
kila msee anataka kakitu, (yeah , yeah)
kila msee anataka kakitu, (kakitu)
kila msee anataka kakitu, (kakitu)
kila msee anataka kakitu, (ayy) (taka kakitu)
kila msee anataka kakitu, (yeah , yeah)
kila msee anataka kakitu, (walai)
wakicheki msupa wako like, nani hukula hii kitu?
(kitu)
Random Lyrics
- lil womby - the rap lyrics
- funkmaster flex - fat joe & punisher freestyle lyrics
- glockenwise - corpo lyrics
- la fiebre - eres mi primer amor lyrics
- 410 - brixton boy lyrics
- sadat x - love, hell or right lyrics
- reik - mas cerca de ti lyrics
- szczepan kln - szczęście lyrics
- ras kass - kings lyrics
- viccens - stupide lyrics