andy mburu - ananijali lyrics
nimeomba
(i have prayed)
tena sio mara moja,
(and not just once)
kwa roho na kwa kweli,
(in spirit and in truth)
bali sij-pata,
(yet i have not received)
majibu yangu kuyaona,
(my answers to see)
adui, shetani mwongo,
(the enemy, satan the liar)
asema ya kwamba mwenyezi mungu yeye hanijali,
(says that almighty god does not care for me)
bali, siwezi sitomkubali,
(yet, i cannot, i will not agree)
niyayo hakikisho, ya kweli ninajua,
(i am certain that truly i know).
ananijali (he cares for me)
sitokubali, kuzama kwenye maji,
(i will not agree to sink in the waters)
ananipenda (he loves me)
yeye ni mwema
(he is good)
ni za dunia, (earthly)
zangu hizi shida, (are my troubles)
hanitanizuia kukutumikia, (they won’t keep me from serving you)
nitafuata mimi hiyo njia, ya kweli na uzima,
(i will follow that way, of truth and life)
kwani, ulisema yote yamekwisha,
(for you said, it is all finished)
sitababaishwa, (i will not fret)
ninajua yatapita, (i know they will p-ss)
kwani, baada ya usiku giza, (for, after a dark night)
ninayo hakikisho, asubuhi itafika,
(i am certain that morning will arrive)
Random Lyrics
- ufo361 - scheiß auf eure party lyrics
- jasleen royal - din shagna da lyrics
- jamie lenman - long gone lyrics
- glades feat. lijpe & soufiane eddyani - maffia lyrics
- chief keef - 3rd person lyrics
- amatsuki - getsuyoubinoyuuutsu lyrics
- jamie lenman - a day in the life lyrics
- chai - クールクールビジョン (cool cool vision) lyrics
- a banca records - outro dia lyrics
- jamie lenman - fizzy blood lyrics