andy mwag - rafiki badilika lyrics
Loading...
verse 1:
chuki ni mbaya
huleta fitina
penye riziki
hapakosi wivu
kama makini
wew
don’t trust n0body
don’t believe them
wa yuda ni wengi
ukitoka tu wana talk
masikio skia
mdumo w+ngu
kaa kimya
macho yangu
ona mbali eeeeh eeeee
chorus:
oooh rafiki
badilika (2fois)
badilisha mwenendo
badilika (2fois)
verse 2:
waulimwengu
wana maneno mengi
ku ishi nao
kweli taabu
be careful ooh ndugu
rafiki mnafiki si rafiki
ukikosa tu anakukwepa
ukipata njo utamuona
be careful ooh ndugu
badiliiiiiiiiiiika
chorus:
oooh rafiki
badilika (2fois)
badilisha mwenendo
badilika
Random Lyrics
- valerie june - within you lyrics
- salu - 鵠沼フィッシュ (kugenuma fish) lyrics
- lege-cy - tharthara | ثرثرة lyrics
- judas priest - metal gods (live from wacken festival) lyrics
- geo banko - young nigga lyrics
- tsune - océanique lyrics
- globe - here i am lyrics
- matt monro - i'll only miss her when i think of her lyrics
- yng titya - по гаражам (in garages) lyrics
- het zesde metaal - houd mie dichte lyrics