ankotrapper - nilie lyrics
trapper
yeah!!!!
chorus
umeniacha na nan!?
umeenda kwa nani?
umeniacha na nani ,umeenda kwa nani
nini nimekosa nini?
unanifanya nilieeeeeee (ooohhoo,oooohho)
unanifanya niumieeeee (ooohhoo,ooooohho)
unanifanya nilieeeeeeee (ooohhoo,ooohho)
unanifanya niumieeeee (ooohhoo,ooohho)
verse 1
yeaahhh
nakupigia, simu yako we utaki kupokea (aahh aaaahh)
nini shida, au kuna kitu nimekukosea ( aaah aaanhhaa)
au ndio wamekuiba, umeamua kutembea (aah aaaahh)
mwendo umeukatisha, sijui uliko elekea (aaah aaahh)
kama kuna kosa,baby plz lets talk
mana umenitosa,mi nahisi kama joke
sitaki kukukosa, kwenye simu usini block
au imekushosha, hali yangu kua broke
yaaah
unafanya na sizi,moyon simanzi
na kweli lazizi, nakupenda kin+z+
nimekua ka chizi, sifanyi hadi kazi
umenipa kizizi,kukwacha ni kazi
chorus!
umeniacha na nan!? (umeniacha na nani?)
umeenda kwa nani? (umeenda kwa nani?)
umeniacha na nani ,umeenda kwa nani
nini nimekosa nini?
unanifanya nilieeeeeee (ooohhoo,oooohho)
unanifanya niumieeeee (ooohhoo,ooooohho)
unanifanya nilieeeeeeee (ooohhoo,ooohho)
unanifanya niumieeeee (ooohhoo,ooohho)
bridge
bado nalihitaji pendo lakooo (aah aaaah)
bado nakuhitaji me mwenzako (aah aaah)
verse 2
girl u know i love (uuuuu)
girl u know i need u (uuuuu)
aaahh!!
u making me cry i feel more pain
i don’t wanna loose u that’s why i complain
addicted to u baby u are my cocain
am loosing ma self without u i don’t gain
smoking zaza
unafanya nawaza
nini nimeku kwaza
nambieee
siwez nyamaza
na hivi nilidata
na vile unafanya
nilieeeee
pick the phone baby
am in a zone baby
mbona sikwoni baby
upo moyoni baby (upo moyoooonii)
baibeeeee!!!!!
umeniacha na nan!?(umeniacha na nani?)
umeenda kwa nani?(umeenda kwa nani?)
umeniacha na nani ,umeenda kwa nani
nini nimekosa nini? (nimekosa niiiiiiiiiiii)
unanifanya nilieeeeeee (ooohhoo,oooohho)
unanifanya niumieeeee (ooohhoo,ooooohho)
unanifanya nilieeeeeeee (ooohhoo,ooohho)
unanifanya niumieeeee (ooohhoo,ooohho)
(unanifanya ni umieee uuuuuu uuuuuuuu)
bridge
bado nalihitaj pendo lakooo (pendo lakooooo)
bado nakuhitaj me mwenzako (aaahh aanhaaa)
outroo
lets talk ,lets talk x16
aaah aaahaaa
Random Lyrics
- yelawolf & caskey - billy and the purple datson lyrics
- verba - młode wilki xv lyrics
- kirby2cool! - couldshouldwould lyrics
- jordan st. cyr - be my defender lyrics
- eden echo - the accelerationist lyrics
- allie x - regulars (the digital concert version) lyrics
- joe kinosian, kellen blair - waiting in the dark lyrics
- rachael price - free to choose lyrics
- anders bc - end up lost lyrics
- elvis costello - you belong to me [live, hollywood high school 1978] lyrics