anyasi ekhuya - unisikie bwana lyrics
ewe bwana niongoze
katika safari yangu
usiniache kwa yule mwovu
nifundishe kutembea katika njia yako
(nipitapo nyikani
usiniache kamwe
nisife moyo
kwenye bonde la kivuli cha kifo
uwe mlinzi w+ngu)
ewe bwana uniongoze
niende kwa mwendo wa imani
nikijua wewe ndiwe yote kw+ngu
na maisha yangu ni yako
(ninakutegemea wewe)
ninakutumaini wewe
(ninakusifu wewe)
ee bwana (wewe ndiwe mungu w+ngu)
(nipitapo nyikani
usiniache kamwe
nisife moyo
kwenye bonde la kivuli cha kifo
uwe mlinzi w+ngu)
ewe bwana niongoze
nipate kufika kwa wokovu wako
nijue wewe ndiwe njia
na maisha yangu ni yako
ninakutegemea wewe
(ninakutumaini wewe)
ninakusifu wewe
(wewe bwana wewe ndiwe mungu w+ngu)
ewe bwana niongoze
(nipate kufika kwa wokovu wako
nijue wewe ndiwe njia
na maisha yangu ni yako)
Random Lyrics
- longestsoloever - running away from me lyrics
- nct wish - sail away (korean ver.) lyrics
- hardwell & bassjackers - energy (extended) lyrics
- angeluve - dime ke me kieres lyrics
- inzanemane - laut lyrics
- heems - sri lanka lyrics
- big harp - nadine lyrics
- aftertime - forge your destiny lyrics
- big r - bright fantasy lyrics
- noahui - one of me lyrics