arrow bwoy - daraja lyrics
intro
tututu turuturu turuturu
dem call me arrow bwoy
(vicky pon dis)
verse 1
masaibu ya mapenzi ,unayependana naye kesho anakuchukia
yule uliyemuenzi ,anageuka sumu kisha penzi anakuvunjia
picha , picha zote kwa insta anafuta
twitter, twitter hashtag anaweka ya matusi
picha picha ,zote kwa kuta anashusha, kisha anakupiga block
bridge
daraja ,daraja ya mapenzi wanaopita ni wengi
daraja ,hii daraja ya mapenzi wanaovuka ni wachache
hook
otile na vera walijaribu kuvuka ,wakaanguka chubwi
krg na nina wakajaribu kuvuka ,wakaanguka chubwi
tanasha na simba walijaribu kuvuka ,wakaanguka chubwi
jamal roho safi na amber ray wakaanguka chubwi
‘tua na lilian walijaribu kuvuka wakaanguka
aki mapenzi wewe
aki mapenzi wewe
aki mapenzi wewe wewe (x2)
naogopa ,mapenzi naogopa
naogopa ,mapenzi naogopa
naogopa
verse 2
kitendawili ya mapenzi ,wengi wameshindwa kuitegua
na mimi na wasiwasi nashindwa kama nitaitegua
kitendawili ya mapenzi ,wengi wameshindwa kuitegua
na mimi na wasiwasi ,nashindwa kama nitaitegua(gua)
(yeah,yeah, yeah)
bridge
daraja, daraja ya mapenzi ,wanaopita ni wengi
daraja, hii daraja ya mapenzi ,wanaovuka ni wachache
hook
mulamwah na caro walijaribu kuvuka ,wakaanguka chubwi
simple boy na vishy wakajaribu kuvuka ,wakaanguka chubwi
frankie na corazon wakajaribu kuvuka ,wakaanguka chubwi
huyo frankie na maureen walijaribu kuvuka ,wakaanguka chubwi
aki mapenzi wewe
aki mapenzi wewe
aki mapenzi we wewe
refrain
naogopa ,mapenzi naogopa
naogopa ,mapenzi naogopa (kupenda naogopa)
naogopa ,mapenzi naogopa
naogopa ,mapenzi naogopa
naogopa
Random Lyrics
- juice wrld - codeiner lyrics
- altuz - anger lyrics
- hxstile - fuck you, and your friends. lyrics
- chawsy - рассвет lyrics
- dolltr!ck - writing's on the wall lyrics
- thirsty merc - come back again lyrics
- oxykoo - lucky strike lyrics
- forest city & friends - all roads lyrics
- ayesha erotica - that turn me on lyrics
- a.l.a علاء - 100 lyrics