azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

arrow bwoy - shikisha lyrics

Loading...

onnananaah
them call me arrow boy, ah me say oh yeiiyeah
baby cheza
k!ll him with the love baby k!ll him with the loooove
dollar kwa meza
signal nipe signal
baby cheza
k!ll him with the love baby k!ll him with the loooove
dollar kwa meza
signal nipe signal
napenda unavyo shiki shikisha sawa
moto umeuwakisha sawa
unafanya napandwa na kichaa sawa
eeeyyy na kichaaa
unavyo shiki shikisha sawa
moto umeuwakisha sawa
unafanya napandwa na kichaa sawa
mmmhhhmmmhh na kichaaa
wacheze kamare
baby usiseme no pitishie waist
stima chini ya maji walambe umeme umeme
ukifika kejani, chuna majani
changu ni chako usiogope darling, you are my honey
cheza kambumbu wapige kandanda
waachie misemo ya khanga
shika kachupa nishike kaganja
baibiе tukule nyama karanga
baby cheza
k!ll him with the lovе baby k!ll him with the loooove
dollar kwa meza
signal nipe signal
baby cheza
k!ll him with the love baby k!ll him with the loooove
dollar kwa meza
signal nipe signal
napenda unavyo shiki shikisha sawa
moto umeuwakisha sawa
unafanya napandwa na kichaa sawa
eeeyyy na kichaaa
unavyo shiki shikisha sawa
moto umeuwakisha sawa
unafanya napandwa na kichaa sawa
mmmhhhmmmhh na kichaaa
cheza
i’ve been waiting for this for a very long time baby
jua ikawaka kukanyesha na kukakauka tena baby
so let me take you to banana island
let me show you what you’ve been missing
i’ll pamper you with designer when you
do like this and you do like that eeh
i’ll take you to banana island
let me show you what youve been missing
i’ll pamper you with designer when
you do like this and you do like that
baby cheza
k!ll him with the love baby k!ll him with the loooove
dollar kwa meza
signal nipe signal
baby cheza
k!ll him with the love baby k!ll him with the loooove
dollar kwa meza
signal nipe signal
napenda unavyo shiki shikisha sawa
moto umeuwakisha sawa
unafanya napandwa na kichaa sawa
eeeyyy na kichaaa
unavyo shiki shikisha sawa
moto umeuwakisha sawa
unafanya napandwa



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...