azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

asagwile - asante baba lyrics

Loading...

hakuna tena mwingine
mwenye mamlaka kama we
mfalme wa wafalme ni wewe
siabudu mwingine
baba nishike mkono
ukae na mimi
usipo nishika mkono
nitabaki na nani? (nitabaki na nani?)

nikitembea nawe yesu (eeeh)
nitakuwa salama
mkono wako utanivushaa (aaaah)
nikiwa ndani ya yesu
sipo kama wengine
sipo kama wengine
unanifanya wa tofauti

asante baba (eeeeh)
asante baba (eeeeh)
yesu uuu
asante baba ×2
aaaaa santee

nikitafakari njia zangu
nikitazama mapito yangu
nakuona wewe
baba nakuona weweee

nilidharaulika (sanaaa)
sikukubalika (oh sanaaa)
nilisahaulika
lakini we ulinik+mbuka (lakini we ulinikunbuka)

sina neno
uweponi mwako
mimi nasikia rahaa ×2

asante baba (eeeh)
asante baba (eeeeh)
yesu uuu
asante baba

asante baba
ni kwa mkono wako
umenivusha



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...