azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ashura machupa - hata nawe uniseme mie lyrics

Loading...

ashura machupa ++n hata nawe uniseme mie
ohooo ohhoooo,aaaaahhh
laalala lalalalaaah

nimeamini mtu anae anza huwa haonekanii
ila alomaliza huwa kajiponza nakutiwa midomonii
nimeamini mtu anae anza huwa haonekanii
ila alomaliza huwa kajiponza nakutiwa midomonii
nimeamini nimekuvumilia kwa mengi leo nachana kifuaaaa
nachana kifua miee nachana kifuaa eheeee
maana heshima ikiwa nyingi ujinga unazaliwaa
ujinga unazaliwa ehee ujinga unazaliwaaaa
siwahadhi si wa type yangu usishindane na miee
mi nayaweza maisha yangu silali kwenye kijiweee
silali kwenye kijiwe mieee ehee
siwahadhi si wa type yangu usishindane na miee
mi nayaweza maisha yangu silali kwenye kijiweee

hawa wewe uniseme miee nilokupa hufadhii
nanguo zangu uvaee
hata wewe uniseme mie eeehh
niliokupa chakula bihiyaana s+m+ni nyiе
sikutaka hili kulisema ila nimekwazika ila nimekwazika
uongozi wa jiji ukirudia tеna ujue kitawaka ujue kitawakaa
heshimu uliompata katoka na fenicha kwao
wallahi utajuta siku akirudi kwaooo

ooh mpenzi uliompata kaja nafanicha zake
ushauri nakupa upange ustirikeeee
maf+ko yangu napesa ya kununua kiwanja
basi nawe dunduliza upange hata chumbaa

ohh basi uwe na pesa ya kununua kiwanja
basi nawe dunduliza upange hata chumbaa

nitakupapaptua palipo napasipo
tena nakujua matandu hadi ukokoo
tafuta pakuchezea mimi sio lavel yako
kuna wewe changudoa uwo ndio wasifu wakoo

ohh nitakupapatua palipo napasipo
tena nakujua matandu hadi ukokooo
tafuta pakuchezea mimi sio lavel yako
kuna wewe changudoa uwo ndio wasifu wakoo
umeniita bingwa wa maneno acha nikueke sawa
mbona wewe unapepo la ngono hatujakutangaziaa
ukitaka niufunge mdomo nawe kimya kaaa
mzinifu ulio kosa kikomo heshima yako imepoteaaa
dar live wanakujua wanakujuaa ahaaaa weweee
kama wewe maharage ya mbeya harage ya mbeya
lango la jiji wamekutumia wamekutimuaa
unatamani ukiongwa bia wameshakutia
hata tandale washakuzodoa washakuzodoaa
vilabu vyako ndio unakolala wewe hauna stara
kigamboni nduki washakutoa washakutoaa
kwenye kikoba marejesho huna ushafilisiwaa

ukitaka kupigana njooo wala sikuuogopii
mimi zaidi ya john cenaaa ahaaaa
mtu anaehisi nimemtusi nimemtusi
afungue jalada na iwe kesi na iwe kesiii
siogopi lolote nendeni polisii
mtu anaehisi nimemtusi nimemtusi
afungue jalada na iwe kesi uko polisi

hhaaha na mtakufa na radhi zenu mf+koni
si mmetaka bifuu
mmetaka bifu na nimeshajipanga wala sina wasiwasiii
hizo mbuyu mlizozikata mtazila kwenye kitii
mmetaka bifu na nimeshajipanga wala sina wasiwasiii
hizo mbuyu mlizozikata mtazila kwenye kitii ahaaaahhh
heheeheh hey hi ni kwa raha zangu babuuu
first priority nampa mume w+ngu captain tembaa
+n+ladha ya strawberry anautamu ya vanilla ndiooo

we mwarabu mweusi kassim mandanda wakishuka sio tunapandaa
we doctor kimbau hafidhi alau mdau unae jielewaa

katika yale mazito mepesi nishakugeaa
mengine naweka najua utarudiaaa
katika yale mazito mepesi nishakugeaa
mengine naweka najua utarudiaaa
utamaliza vichamboo vya uhuru na uf+kwaa
mmeyaiga ya tembo sasa sasa shoneni misambaa
katika yale mazito mepesi nishakugeaa
mengine naweka najua utarudiaaa
narewind mkanda ohoo sh+ti nilipoteza mda w+ngu
nilifadhuili washamba k+mbe wanachuki zidiyaaa
katika yale mazito mepesi nishakugeaa
mengine naweka najua utarudiaaa
mtamaliza juhudi nilipo wala hamfikii
katika yale mazito mepesi nishakugeaa
mengine naweka najua utarudiaaa
najua utarudiiiaaa sikia sauti ya zainabu machupaa
doctor alibino hii inawausu hao ndorobooo
hao wazua maneno



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...