asia utamu - fungu la kukosa lyrics
fungu la kukosa + asia utamu
ohoooooohh ahaaaaaaaa
ohoooooohh ahaaaaaaaa
kila lenye baraka lina ridhaa ya mungu
mola kanipa falaka wala usijipe uchunguu
kila lenye baraka lina ridhaa ya mungu
mola kanipa falaka wala usijipe uchunguu
machungu ya moyo usijipee ilo donge ilo donge litakuuaa
kucheza chezea vyeupe vyekundu vyekundu vitakuchafuaaaa
machungu ya moyo usijipee ilo donge ilo donge litakuuaa
kucheza chezea vyeupe vyekundu vyekundu vitakuchafuaaaa
fungu lako lakukosa weweeee huna litaalo kunyookeaaa
yangu yasikusumbuee weweeee mlango wazi kunilaliaa
fungu lako lakukosa weweeee huna litaalo kunyookeaaa
yangu yasikusumbuee weweeee mlango wazi kunilaliaa
mwenyezi kaniwezesha mazuli kunileteaaa neema nimeipataaaa
shida kw+ngu zimekwisha vitamu ninajilia nashukuru kwa kupataaa
nashangaa unakesha yangu kushughulikia unanikunjia ngitaa
kheri kw+ngu kapitisha nipo vizuri namea yaliyopita yamepitaaa
yaani hupеndi kabisa yangu yakaniendeaaa
fungu lako la kokosa ndilo linokusumbuaa
yaani hupendi kabisa yangu yakaniеndeaaa
fungu lako la kokosa ndilo linokusumbuaa
kila neno kwako neno huna linokunyookea
ni wanuksii na mikosiiihhh
bora punguza maneno mambo yako twayajuaa
ni mabaya mabaya mpaka basiii
kila neno kwako neno huna linokunyookea
ni wanaksii na mikossii weweeee
bora punguza maneno mambo yako twayajuaa
ni mabaya mabaya mpaka basiii
kila baya wewe umo hakuna asio kutambuaaaa
kutwa husihi mifarakano watu unawasumbuaaa
oohh kila baya wewe umo hakuna asio kutambuaaaa
kutwa husihi mifarakano watu unawasumbuaaa
bahati kwako haimo wakukosa tunajuaaa
acha kuchonga mdomooo huenda ukasitiriwaaa
aaah bahati kwako haimo wakukosa tunajuaaa
oooh acha kuchonga mdomooo huenda ukasitiriwaaa
wa sita hupewa tisa hivyo inavyo kuwa
fungu lako la kukosa kupata kwako ngekewaa
wa sita hupewa tisa hivyo inavyo kuwa
fungu lako la kukosa kupata kwako ngekewaa
hizi rehema za mungu mja nimezipokeaa
nyongeza ya kwake fungu si ajabu kuongezewaaa
hizi neema za mungu mja nimezipokeaa
nyongeza ya kwake fungu si ajabu kuongezewaaa
mzeee saidi alikuja lalamikaa
ooh mzeee saidi alikuja lalamikaa
kasikia fununu kwamba unavuruga nyumba za watu
aaah amesikia fununu kwamba unavuruga nyumba za watu
kaja kutoa onyo anasema kijana ole wako
kaja kutoa onyo anasema kijana ole wako
kasikitishwa sana ndugu yangu kuwa na mambo hayo
aaah kasikitishwa sana ndugu yangu kuwa na mambo hayo
umefanya mambo mengi lakini haya yamezidi kipimoo
aaah umefanya mambo mengi lakini haya yamezidi kipimoo
kucheza na nyumba za watu sawasawa kucheza na motoo
kucheza na nyumba za watu sawasawa kucheza na motoo
wacha wacha mara moja hatari kubwaa
utapoteza maisha wewe hatari kubwaa
na wewe ughali mdogoo hatari kubwaa
hujaiona dunia bwana hatari kubwaa
wabahati habahatishi yake yanamuendeaa
ni bora utulie uishi huenda ukasimuliwa
wabahati habahatishi yake yanamuendeaa
ni bora utulie uishi huenda ukasimuliwa
niksi mikosi kisirani yanakuendea komboo
umekosa vya sahani vya kwako wewe makombo
nuksi mikosi kisirani yanakuendea komboo
umekosa vya sahani vya kwako wewe makombo
fungu lako la kukosa yako tumeshajua
hutatafuta kabisa bure unajisumbuaa
sitaki maneno mie sitaki lawama miee
ulichotaka miee mbona nimekuachiaa
sitaki maneno mie sitaki lawama miee
ulichotaka miee mbona nimekuachiaa
sitaki sitaki na visa vyakoo
sitaki sitaki maneno yako mimiii
sitaki sitaki maneno yako mimiii
sitaki sitaki na visa vyakoo weweeee
nalia nalia nalia kwa mawazo
acha kulia acha kulia bora omba mungu kwa kukesha
nalia nalia utamu nalia kwa mawazo
acha kulia acha kulia heri mungu ataipitishaa
nalia ohh nalia wakali wao nalia
acha kulia acha kulia bora omba mungu kwa kukesha
ooh nalia nalia oohh nalia kwa mawazo
acha kulia acha kulia heri mungu ataipitishaa
taarab lyrics/mashairi/kwa maneno by baraka mkande
Random Lyrics
- sick legend - all i ever wanted hardstyle speed up lyrics
- charles the emperor - cliff jump lyrics
- “unknøwn” - tom payton - “airport” lyrics
- nogueira - incômodo lyrics
- ache hour credo - benju & the pig man lyrics
- ㅤthe maceㅤ - universal lyrics
- rasmus gozzi - jag vill ha dig här hos mig lyrics
- retro x - etrange mood lyrics
- カネコアヤノ (kaneko ayano) - 眠れない (nemurenai) lyrics
- vikins griivs - teicējs 2 lyrics