at - raha zako lyrics
[verse 1: a.t.]
baby, niamini
mi ninakupenda kwa dhati usinione kama kama mimi nacheza
kwako nmepata bahati wala sintoichezea
(sintoichezea)
penzi lako si liwachi nalieka moyoni lisije potea
na wala sitoi chance mwingine wa kuchukua
(ooh)
wewe ndio ulio nifanya niwe na ng’aa kila kona watu wananishangaa
nik+mbatie, ni kiss kiss ma
mpenzi w+ngu sikuachi
[chorus]
raha zako zote we unipe mie tu
sababu zanifanya niwe juu
raha zako zote we unipe mie tu
sababu zanifanya niwe juu
hakuna ataye sogea ah haa
hakuna ataye tujia ah haa
hakuna ataye sogea ah haa
hakuna ataye tujia
[verse 2]
ukweli mi nawapa j+po hawataki’ wanapinga
ni nzuri zako sifa ntazipata wapi, ‘zina nifaa
una sifa nzuri sana nikisema watu; watu watashangaa
hujawahi nidanganya wala kunisumbua >> kunisumbua
ukini+miss mi najua unalia moyo unaumia si kama sijui
nakuomba vumilia tutafurahi dear
(ooh)
wewe ndio ulio nifanya niwe na ng’aa kila kona watu wananishangaa
nik+mbatie, ni kiss kiss ma
mpеnzi w+ngu sikuachi
[chorus]
raha zako zote we unipe miе tu
sababu zanifanya niwe juu
raha zako zote we unipe mie tu
sababu zanifanya niwe juu
hakuna ataye sogea ah haa
hakuna ataye tujia ah haa
hakuna ataye sogea ah haa
hakuna ataye tujia
[hook]
mi napenda unavyosema unanipenda >> nipenda
mi napenda unavyosema unanipenda >> nipenda
si utani wala sio masihara, mapenzi yako ni matamu sana
kwani we unaweza (dear)
si utani wala sio masihara, mapenzi yako ni matamu sana
kwani we unaweza (dear)
[chorus]
raha zako zote we unipe mie tu
sababu zanifanya niwe juu
raha zako zote we unipe mie tu
sababu zanifanya niwe juu
hakuna ataye sogea ah haa
hakuna ataye tujia ah haa
hakuna ataye sogea ah haa
hakuna ataye tujia
[outro]
nakupenda sio kitoto
a.t. na (?)
uswazi
its reggae tone
Random Lyrics
- bozo - beef’n 4ever lyrics
- owen (usa) - cursed id lyrics
- amaura - chefe de estado lyrics
- fuad musayev - qadınlar lyrics
- roy avital - all along (kino todo remix) lyrics
- estado de sitio - náufrago lyrics
- mezolith - thank god its friday lyrics
- icarrus - самый худший папочка (samiy hudshiy papochka) (world's worst dad) lyrics
- hend collin - toxic lyrics
- makoto (yummbros) - бокс (box) lyrics