awillo mike - risiki lyrics
mimi ninalo jambo lanisumbua akili lulimwengu umepasuka mahali mungu aliupanga usiku saa ya kulala god he has planned the night time to sleep mbona walimwengu mmebadili mipango ? the world is cracking somewhere why do humans change their plans? i have something disturbing my mind usiku sasa imegeuka mchana na mchana sasa ni kama usiku – jamani – yeaa eah the night now turns to day and day now is like night – hey mi – nashangaa yeaa me – i am surprised i have something disturbing my mind mimi ninalo jambo lanisumbua akili lulimwengu umepasuka mahali mungu aliupanga usiku saa ya kulala god he has planned for you the night time to sleep mbona walimwengu mmebadili mipango ? the world is cracking somewhere why do people change their plans? usiku sasa imegeuka mchana na mchana sasa ni kama usiku – jamani – yeaa eah the night now turns to day and the day is now like the day – hey mi – nashangaa yeaa me – i am surprised karo za watoto mnatafuta usiku y’all will search for children’s fee at night kodi za nyumba mnatafuta usiku biashara nyingi mnafanya usiku y’all will search for postcodes at night lots of business is done at night chai kwa mkate sasa mnauza usiku mahindi choma sasa mnauza usiku tea with toast now y’all sell at night roasted corn on the cob now y’all sell at night malimali sasa mnauza usiku property you now sell at night hata maombi nyingi mnafanya usiku even many prayers y’all do at night koinange mnatafuta usiku wake kwa waume shughuli zenu usiku hata safari nyingi mnaenda usiku y’all search for koinange at night women and husbands do your stuff at night y’all even go on many journeys at night biashara nyingi mnafanya usiku kwa nini? yeaa eah mi – nashangaa lots of business y’all do at night – why? me – i am surprised try translate the next ones yourself… karo za watoto mnatafuta usiku kodi za nyumba mnatafuta usiku biashara nyingi mnafanya usiku chai kwa mkate sasa mnauza usiku mahindi choma sasa mnauza usiku malimali sasa mnauza usiku hahata maombi nyingi mnafanya usiku koinange mnatafuta usiku wake kwa waume shughuli zenu usiku hata safari nyingi mnafanya usiku biashara zote mnafanya usiku – kwa nini? more new translations coming up… niliambiwa na babu yangu kweli zubaazubaa utapata mwana si wako niliambiwa na babu yangu kweli zubaazubaa i was told by my grandad the truth you will get a child that is not yours i was told by my grandad a truth utapata mwana si wako niliambiwa na babu yangu mkweli zubaazubaa you will get a child that is not yours i was told the truth by my grandad utapata mwana si wako nimeamini kilichosemwa na babu you will get a child that isn’t yours i have believed what is said by grandad nimekubali kilichosemwa na babu i have accepted what was said by my grandad
Random Lyrics
- vish - public service announcement lyrics
- sawanohiroyuki[nzk] - remember lyrics
- jowell & randy - guadalupe lyrics
- young roddy - tale of three kings lyrics
- chimie - regele bazarului lyrics
- lass - nombo lyrics
- what can't i kill - fear you lyrics
- amelda - on ne l'oubliera jamais lyrics
- bozza & maxwell - cheech n' chong lyrics
- scotty cain - throw them bitches lyrics