bahati - bambika lyrics
[intro: rekles]
(motif di don)
cheki, ati, eh
[pre#chorus: rekles]
rada safi, yaani basi
bambi#bambika
na juu sijali, ni wazi
mi nishabambi#bambika
[chorus: rekles and bahati]
ati, ati, ati bambi#bambika, ka
bambi#bambika
ati bambi#bambika, ka
bambi#bambika, eh
tuko na mola, tunajiachilia leo
bahati, ethic, iwafikie leo
bambi#bambika, ka
bambi#bambika
ati bambi#bambika, ka
bambi#bambika, eh
[verse 1: bahati]
karibu kwa hii party leo
tunauza imani bila money leo
ametutoa mbali huyo
uliza hata swat, hatuwachi leo
[verse 2: swat]
niko chupri, niko chupri kwa pori
mboka lazima itachapwa, si#worry
kwa dimanga siwezi rudi, ni ngori
cheda sakwa, uza meda, sichoki
na kachoki ni kakonki, katoti
kaa ni babi amedai, atacheza
kaa ni gw#ngi, ni lazima achezewe
pewa, pewa, sasuliwa, perembwa
[chorus: rekles and bahati]
bambi#bambika, ka
bambi#bambika
ati bambi#bambika, ka
bambi#bambika, eh
tuko na mola, tunajiachilia leo
bahati, ethic, iwafikie leo
ati, ati, ati bambi#bambika, ka
bambi#bambika
[verse 3: zilla]
nimcheki na konyagi kukanyagia
kamcheki na konyagi kukanyonga
buda, kukacheki muda, kaka fisia
eh, juzi, suzie akamkazia
eh, kaa ni pedi, niekee tatu, nitakupata
kaa ni lady, heri pesa kwa kibanda
nieke dredi, nizipande fertilizer
tukimedi kwa kinganya tukikata
[verse 4: seska]
kaa ni mboka, bana, sitakaokota
no kimbelembele, usi#turn kukaokota
kaa ni family, nadai son, daughter
round#ia stick tatu tatu kaa mbota
penda starehe, saa utare
huwezi bargain starehe
pumwani data hapo kando ya starehe, mi born starehe
sin huwa si liquor, kam kusele
[pre#chorus: rekles]
rada safi, yaani basi
bambi#bambika
na juu sijali, ni wazi
mi nishabambi#bambika
[chorus: rekles and bahati]
ati, ati, ati bambi#bambika, ka
bambi#bambika
ati bambi#bambika, ka
bambi#bambika, eh
tuko na mola, tunajiachilia leo
bahati, ethic, iwafikie leo
[outro: bahati and rekles]
everybody, leo, mungu wa redio ni leo
leo, collabo of the year ni leo
leo, mungu wa redio ni leo
leo, collabo of the year ni leo
#ka, ati, ati, ati bambi#bambika
Random Lyrics
- gary the cool guy - beast on the mic lyrics
- poppy tears - my minds a bad neighbourhood lyrics
- ripjacub - maybe lyrics
- random v - ya quiero tenerte (l-o-v-e) lyrics
- big cock - king of cool lyrics
- бутырка (butyrka) - подогреем режим (warm up mode) lyrics
- wstdyth - iphone10 lyrics
- koo koo kanga roo - you are the best lyrics
- lisa papineau - been a long time (sugarremix) lyrics
- hidden jem - alpha female lyrics