baraka - usi trip lyrics
[baraka]
(intro)
put the city on my back like a back+pack
pull up on the plug cause i had to get the cash back
buda kaa sharp kaa wembe
bash haishiki kaa si shrap au genge
sip it & you sleep no tembe
nime+changanyisha codeine na veve
(hook)
chunga usi trip usi tegwe
chunga usi sip cup yangu ziku bebe
(ziku bebe)
(chunga usi sip ziku bebe)
(ziku bebe)
(chunga usi trip usi tegwe!)
(verse)
tangu ninunue blender niliwachana na kutafuna veve
saa zingine mi hupenda steam zangu zipande mbaka heaven
niliwachana na ulevi
pull up to the club na kaa veve
handas yangu ni soft kama jege
papi sweet kaa mi ni peremende
cheza roho chuna debe ata na urogi we huniwezi
ngoma sitini (60) kwa mwezi
siwezi handwa mi nilikuwa mwizi
nimezoana na machizi
spent my last stack so na+suk+ma wiki
cc the tv
i’m still on watch they never get to see me
chunga usisemwe
ata kaa unanichukia, chunga usiseme
ata ukiwa na rende
huwezani na ma+shetani zangu ziko na pembe
mi hukula sembe
mimi ni mluhya, mimi ni mlembe
hawa wasee siwapendi
hawa wasee husengenyana hawa ni wasenge
(ma karao wachengwe)
(ma falaa wachekwe)
(hio maisha si mchezo uta cheza uchezwe)
vidole ma petco
banii ana let go
[ek+mbo]
(verse)
tangu nihamie syokimau+mau nimeone usenge
tangu nianze k+mea hii nywele akili kana songa mbele
skinny boy no unene
kubeba amebeba kaa +muaah+
she wan act real friendly
she wan do it on camera
mimi si chani nakunywa hii jaba
at the set nafunga hio shada
itabidii niipeleke sanaa (peleke sanaa)
in my city do the most
ma dame bado wana+ku ghost
you just need a lil do’
nairo to the coast
+inaudible+
Random Lyrics
- dj galante - thick (feat. apple jacks) lyrics
- ike reilly - lights out (anything goes) lyrics
- aveparadiso - she lyrics
- ostan stars - neenga vendumaey lyrics
- tomie cacique - gta (cops and robbers) lyrics
- ольга бузова - орбит без сахара lyrics
- the lagoons - midnight afternoon lyrics
- 许嵩(xu song) - 雅俗共賞(yǎsúgòngshǎng) lyrics
- shadows and mirrors - becoming lyrics
- every little thing - stray cat lyrics