
barakah the prince - nuru lyrics
[verse 1]
yaani haya ‘ni mapenzi tu
penzi lako lanifaa
palipo pelea we ndio kifaa
haudanganyiki
maana penzi ‘hulithaminishi
kama bahati kukupata
ukiniacha nitakufa
ningeweza vipi?
umenifanya wa tofauti
[pre+chorus]
naliona penzi kama angani nyota zinazo ng’aa
kukupata we najiona mwenye furaha
nilikuwa gizani ‘nuru, ukawasha taa
kukupata we
najikuta mwenye furaha
[chorus]
naiona true love
umenikamata
naiona nuru
nnapo ona lako tabasamu
baby, naiona true love
umenikamata
naiona nuru
nnapo ona lako tabasamu
inameremeta
…
inameremeta
….
mm+mm+mh
[verse 2]
n+z+ona siku za usoni
ndani ya shela, suti na tai
bora nikose kila kitu
nisikose penzi tu (penzi lako)
wewe sio wa sokoni
thamani yako si ya papai
haikuwa rahisi, boo
kukupata wewe tu
oh’
[pre+chorus]
naliona penzi kama angani nyota zinazo ng’aa
kukupata we najiona mwenye furaha
nilikuwa gizani ‘nuru, ukawasha taa
kukupata we
najikuta mwеnye furaha
[chorus]
naiona true love
umеnikamata
naiona nuru
nnapo ona lako tabasamu
baby, naiona true love (baby love)
umenikamata (baby love, love)
naiona nuru
nnapo ona lako tabasamu
inameremeta
…
inameremeta
[outro]
mmm
i’m in love
woah, woah, woah, woah
baby, oh
Random Lyrics
- guelo star - vida real lyrics
- danixir - нет времени (no time) lyrics
- maïa (deu) - überall du lyrics
- y3at-b0b - ananas gmbh lyrics
- neo nheechi - till i break lyrics
- grashnuck - lying lyrics
- youth with you - a little bit lyrics
- 347aidan - cover man lyrics
- flau’jae & lil wayne - came out a beast lyrics
- jw francis - treasure lyrics