barnaba classic - kitu lyrics
[intro]
yo badman
yeh, abigail chams again
[verse 1 : barnaba]
hamna kitu naweza kukuambia mpenzi, labda kukusifia
nimeona wengi kwenye dunia, lakini wapi hawajakufikia
na ulivyo chocolate, black skin colour
kama keki, mchuzi wa masala
uko neti kila idara
penzi letu hatujabeti, liko imara
[pre chorus: barnaba]
mechi tunazoshinda chumbani, we ndo captain w+ngu
unaniongoza golini, mpaka napata ushindi w+ngu
si siupige kelele, ashi au baby tamu
na ilivyo tamu kama chocolate, walai nakupenda
[chorus: barnaba]
haya mapenzi yananifanya nachachawa
akichanganya ile kitu, na kuwa siko sawa
siishi k+muwaza anayenifanyaga niwe sawa
aah, ile kitu, na kuwa siko sawa
[verse 2 : abigail chams]
and mpenzi, umenifunga macho
mwingine sioni tena
ndege nimepata chota
natazama penzi, naota
lazizi, umenifunga mguu
sitamani toka+toka
nnachostahili sijakosaa, wouoh
[pre chorus: abigail chams]
mechi tunazoshinda chumbani, we ndo captain w+ngu
unaniongoza golini, mpaka napata ushindi w+ngu
si siupige kelele, ashi au baby tamu
na ilivyo tamu kama chocolate, walai nakupеnda
[chorus : abigail chams]
haya mapenzi yananifanya nachachawa
akichanganya ile kitu, na kuwa siko sawa
siishi k+muwaza anayenifanyaga niwе sawa
aah, ile kitu, na kuwa siko sawa
[outro : abigail chams & barnaba]
wakitaka vita wakuchukue sweetheart
na kitachimbika moto hautazima
wakitaka vita wakuchukue sweetheart
na kitachimbika moto hautazima
Random Lyrics
- djebril slatni - intro lyrics
- mor ve ötesi - 1945 lyrics
- daisy park - on your own lyrics
- william black & baby blue (duo) - empty space (without you pt.2) lyrics
- bígí ciúin - thursday night lyrics
- wim tapley - one step lyrics
- robot rob 13 - one eye open when i'm sleeping lyrics
- hiphopologist - pishgoo lyrics
- zoe wees - dead to me lyrics
- danish roomi & yashal shahid - saiyaan (sharpasand ost) lyrics