barnaba classic - nibusu remix lyrics
[intro]
mbosso
uuh+uuh, uuh+uuh, uuh+uuh
(majorkizy baby)
[verse 1 : mbosso]
ningeamuru nyota na mbalamwezi zimulike mchana
ili watu waone vile tunapendana
baby ajali ya mapenzi mioyo imegongana
na sitaki nipone nife unizike mama
mi ndege wako nitarejea niruke niende wapi
kama kitanda kitalegea tushuke kwenye busati
[hook : mbosso]
nibusu (hadharani)
nami nikubusu (hadharani)
ooh, mchuchu (hadharani)
nimekunywea alkasusu (hadharani)
[pre+chorus : mbosso]
kwako nimezama penzi nipatie mazima
jeuri sina haki nitafia madina
vya kuiba iba havinogi nimeshindwa
nilisema napita mwishoe nimezama
[chorus : barnaba]
nibusu (hadharani)
nami nikubusu (hadharani)
mmh, nimumu (hadharani)
nami nikuchumu mpenzi (hadharani)
nimumu (hadharani)
nami nikuchumu (hadharani)
nibusu (hadharani)
nami nikubusu (hadharani)
[verse 3 : yammi]
habibi usingizi ndo kitu nakosa, mpenzi
na nikikosa ile kitu ndo kabisa silali, mpenzi
(n+z+diwa, aah)
nusu kaputi, nusu mgonjwa najifia baby
na sindano yako ndo yanitosha kutibu yangu maradhi
[verse 4 : barnaba]
kama mende niko chali
penzi kalikikata na kisu kikali (mtoto)
upepo wa bahari
anitulizaga najikutaga mbali (kiboko)
[verse 5 : yammi]
na ulivyo mtamu kama pipi
sijui nikufananishe na nani
ya k+mung’unya ya kijiti
kwa kuitaja matе mdomoni
[hook : yammi]
sweet like my hot green tea
mama, you’re looking sеxy tonight
i been about her sweet thing, thing
and she knows that what i touch is mine
yammi niko hoi, baby
[pre+chorus : yammi]
kwako nimezama penzi nipatie mazima (mazima)
jeuri sina haki nitafia madina (madina)
vya kuiba iba havinogi nimeshindwa
nilisema napita mwishoe nimezama
[chorus : yammi]
nibusu (hadharani)
nami nikubusu (hadharani)
nimumu (hadharani)
nami nikuchumu mpenzi (hadharani)
[chorus : barnaba & mbosso]
nibusu (hadharani)
nami nikubusu (hadharani)
ooh, mchuchu (hadharani)
nimekunywea alkasusu (hadharani)
[outro : yammi, barnaba & mbosso]
(talk to me boy) ka naota tu haniishi akilini
(uuh, baby) ka naota sijui kwa nini
kama naota tu huniishi akilini, baby
kama naota tu umenipa nini
kamix lizer
Random Lyrics
- anafor chucky & empozi - world is filthy lyrics
- fiillheadđ - мор. # (more. #) lyrics
- кал (kalll) - бустеренко флоу (busterenko flow) lyrics
- g.w.m & fehér krisztián - nálunk ez betegség lyrics
- elisa rinaldi, laura panzeri & nicola gargaglia - la perfida strega dell’est lyrics
- ce$ar (@vercxttcesxr) - noche promedio! lyrics
- claudio capéo - ti amo lyrics
- republika - układ sił (demo 81) lyrics
- lotte lehmann - der genesene an die hoffnung - mörilke lyrics
- sanjoh - 우리는(we are) lyrics