azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

barnaba classic - nyang’a nyang’a lyrics

Loading...

this is barnaba boy classic
if you love someone you have to fight
goes around, comes around
and this is for you beiby

noo…oooh oooh oooh

penzi umelipiga parapanda
uchizi umenipanda
mpaka nimepatwa kipanda, kipanda uso

mie barafu kwako mama niliganda
umeleta joto nimeyeyuka mama
unanipa maswali, wapi kwenda huko
penzi umeligeuza karabali

umegeuka upepo
umezima zetu ndoto
rafiki yangu amekuwa kilio

angali najipa moyo
nivute subira ila wapi
moyo umechoka

kuna muda naulazimisha mwili kimapenzi
angali nafsi na roho yangu havipendi
sina mood sijiskii chochote
moyo w+ngu jamani
nyang’a nyang’a oooh
roho yangu imechoka
nyang’a nyang’a oooh

nikufamanie nimechoka
nyang’a nyang’a oooh
eeh eeh nyang’a nyang’a oooh
eeh eeh nyang’a nyang’a oooh

moyo w+ngu barafu
nyang’a nyang’a oooh
kwenye jua nayeyuka
nyang’a nyang’a oooh

ukinivunja nameguka mie
nyang’a nyang’a oooh
eh mie, nyang’a nyang’a oooh
mie, nyang’a nyang’a oooh

zile subira, subiri huvuta heri
mimi nimevuta shari
nilompenda akawa adui
na mie ndo wake askari

nilichogundua
tamu ya mapenzi
waliopendana wakiachana
wanakuwa maadui sana
kuna muda na kubeep na itikali
nakutumia message yawa
ukinipigia nakujibu bahati mbaya

kuna muda naulazimisha mwili kimapenzi
angali nafsi na roho yangu havipendi
sina mood sijiskii chochote

moyo w+ngu jamani
nyang’a nyang’a oooh
roho yangu umechoka
nyang’a nyang’a oooh

nikufamanie nimechoka
nyang’a nyang’a oooh
eeh eeh nyang’a nyang’a oooh
eeh eeh nyang’a nyang’a oooh

moyo w+ngu barafu
nyang’a nyang’a oooh
kwenye jua nayeyuka
nyang’a nyang’a oooh

ukinivunja nameguka mie
nyang’a nyang’a oooh
eh mie, nyang’a nyang’a oooh
mie, nyang’a nyang’a oooh



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...